Mahakamani: Paul Makonda ambwaga Saed Kubenea

Wewe itakuwa taahira siyo bure, kesi ya Kubenea mimi inanihusu vipi?

Au kuwaumbuwa huu uongo mlioandika kwenye hii thread ndio umepanic hivyo?
Na wewe ni pimbi tu! Sasa kama mahakmaa ya kinondoni haina uwezo alipeleka vipi kesi hiyo kinondoni na huku anajua haina uwezo! Wewe na kubenea mnaakili moja! Vichwa maji!
 
Wewe itakuwa taahira siyo bure, kesi ya Kubenea mimi inanihusu vipi?

Au kuwaumbuwa huu uongo mlioandika kwenye hii thread ndio umepanic hivyo?
Tulia kwanza shusha presha, kunywa maji mengi. Alafu jibu hili swali: kwa nn wewe na kubenea hamkupeleka hiyo kesi mahakama sahihi?
 
Godfather wake alipewa hukumu gani, kifo??

Kama ulimaanisha kifo, je wewe ukifa itakuwa ni hukumu juu ya kosa gani kubwa ulilowatendea watz? Au tukitenda mema ni kigezo cha kuishi milele?

Watz sijui tulirogwa na nani, we tafuta hela na nguvu uishi bila kuonewa hapa duniani, swala la kifo litakukuta hata uwe mwema kiasi gani.
 
Wewe endelea kujifariji hamna lolote Makonda yuko na Samia vizuri! Mnachuki tu za kijanga na kipumbavu!

Siku nitakapoona Samia na Makonda wako pamoja kwenye picha nitaamini wako vizuri. Na kwamba Samia kaamua kujilipua.

Huyo jamaa hivi sasa ni mzinga wa liability kwa viongozi wa Tanzania hasa wanaopenda kuwa na image nzuri kimataifa. Kama sikosei, baada ya US kumpiga PI, hata JPM hakuwa akionekana naye public.
 
Hiki usemacho ni kweli? Sina imani na mahakama hizi zilizokubali kuitumikia CCM, je habari yako ni ya kweli?
Umezidishiwa stress baada ya zile ulizoachiwa na Magu
 
Mbona unateseka sana?

Ni hivi kesi ya Makonda yatupiliwa mbali.
 
Wewe itakuwa taahira siyo bure, kesi ya Kubenea mimi inanihusu vipi?

Au kuwaumbuwa huu uongo mlioandika kwenye hii thread ndio umepanic hivyo?
Utaahira wako umeonekana kwenye kesi hii..

Siku Sabaya anaachiwa huru ndio utavaa pichu kichwani kabisa
 
Hongera sana Makonda, hujawahi kuniangusha,
Poleni watesi wake, kazi iendelee, [emoji123]

Matumizi mabaya ya Madaraka my foot, [emoji57]
 
Niliwahi kuandika kuwa "Matumizi mabaya ya Madaraka" ni kosa gumu sana kulithibitisha mahakamani. Mtu mwenye mamlaka ya kuadhibu kosa hilo nio Rais tu. Ingekuwa kesi ya Kutumia madaraka yake kunyang'anya mali za watu binasfi kwa manufaa yake binafsi ingelkuwa na nguvu kidogo lakini pia angeambiwa kuwa kesi hiyo kesiiko kwenye jurisdiction ya TAKUKURU
 
Huyu Kubenea ni bora apumzike huku ni kujihalilisha
 
Kubenea alikurupuka kufungua ile kesi, hakuwa na locus standi.
Hii ndo sababu kuu sema watu wengi humu hawaelewi. Unapofungua kesi lazima uoneshe ni kwa namna gani maslahi yako yaliharibiwa kwa namna moja ama nyingine.

But mkuu locus standi huwa sio kwa civil cases pekee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…