Chadema wameumia sana na hili ishu ya Makonda kutupiliwa mbali kesi yake,Tuliwai kusema humu kwamba Makonda hakutumia vibaya madaraka ya Ofisi yake ya ukuu wa mkoa,alichokuwa anafanya alikuwaga anakijua,Makonda anawajua wote wauza ngada na mashoga, na clouds ilishawai kutuhumiwa kuhusika na haya Mambo....Ruge rest in peace kiburi tu cha kihaya ndo kilikuwa kinamsumbua ila alitakiwa kumuomba Msamaha Makonda!!!