Mahali ambapo Shetani hawezi kufika huwa anatuma mwanamke

Mahali ambapo Shetani hawezi kufika huwa anatuma mwanamke

Naona unafanya kazi ya kunilisha maneno.
Hakuna sehemu nimesema mada ni ngumu.

tafsiri ya neno "Controversial " kwa Kiswahili ni "Yenye Utata".

Utata uko hapa umeandika " Mahali ambapo shetani hawezi kufika huwa anatuma Mwanamke"

ningekuona wewe si mjinga kama ungeeleza ni vitendo gani Mwanamke akifanya anakuwa ametumwa na Shetani.

Na je hivyo vitendo au vya kufanana na hivyo Mwanaume hajawahi kufanya.
Na kama anafanya alitumwa na nani?


Lakini pia mada yako kukubalika na watu wengi haimanishi uko sahihi au si ya kijinga.
Nakupa references kutoka Kwenye biblia( ingawa sijui Kama wewe Ni mkristo)

Adam & Eva katika bustani ya Eden

Delilah & Samson

Potipha"s wife & Joseph

Uriah's wife & King David

Job vs his wife & Satan
 
Nakupa references kutoka Kwenye biblia( ingawa sijui Kama wewe Ni mkristo)

Adam & Eva katika bustani ya Eden

Delilah & Samson

Potipha"s wife & Joseph

Uriah's wife & King David

Job vs his wife & Satan
Ibrahim & Sara vs Hagar
 
mifano ipo ya kutosha kwenye Bibilia
1. Eva
2. Delila
3. Safira
4. mke wa Ayubu
5. mke wa mfalme Herode
6. Yezeberi nk


kiasili, wanawake wamebeba negative power. ila ndio hao hao mama zetu.

uzao wa mwanamke yaani Yesu Kristo ulimponda ibilisi kichwa msalabani
 
Back
Top Bottom