Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa, wakipata vema na kupendana. Tulikotoka ni kugumu, tunakokwenda ni kurahisi, kuzuri! Heri ya Mwaka Mpya wahusika wote

This picture speaks thousands words!.View attachment 2466088

Kuna vitu vikubwa vizuri hii picha inasema ambavyo havijaandikwa!. Inabidi uwe na observatory eagle eye kuviona!.
  1. Kikawaida Political pictures zinafuata kanuni ya kidplomasia iitwayo reciprocity, wenyeviti wa vyama wakikutana ni wenyeviti.
  2. Wenyeviti wakikutana huku wameandamana na ma VC wao, then wote wawili wataandamana na ma VC wao!. Sio mmoja yuko na VC wake, mwingine yuko kavu kavu!.
  3. Distance between the subjects and proximity and closeness tells something comfortablility, love, trust, openness and readiness!.
  4. Colours of suits and single buttons suits is just an amazing coincidence!, which tells they think alike!.
  5. Kiukweli kabisa usione vyaelea, vimeundwa!. Kuna watu wakiangalia hii picha wanadhani it was simple and easy, na kufikiri it just happened!.
  6. No way, mpaka hapo unapowaona, ujue kuna kazi kubwa background work imefanyika:!.
  7. Kuna watu wamemuombea mtu msamaha, Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye?
  8. Kuna watu wameandika Makala magazetini za kumuombea mtu msamaha!View attachment 2466125
  9. Mtu akasamehewa:!
  10. mambo mazuri yakaanza!, vikao ambavyo vilikwama kuitishwa kutokana na ukosefu wa fedha, pesa zikapatikana!, vikao vikaitishwa!, sasa hata fedha za uendeshaji wa shughuli za chama zimepatikana, mambo sasa yanakwenda, na sio fedha tuu za uendeshaji, hadi fedha za kupiga trips za nje ya nchi pia zimepatikana!.
  11. Haya ni mambo mazuri, kiukweli kabisa mahali ni pazuri, ndugu wanapokaa, wakipata vema na wakipendana.
  12. Tulikotoka ni kugumu, tunako kwenda ni kurahisi, kuzuri!. Tunaelekea pazuri.
Hongereni wote,
Happy New Year!.
Paskali
Naona umeamua kugeukia Mambo ya unabii
 
Mbona Makamu Mwenyekiti wa upande mmoja hayupo au yupo nchini kwao au kwenye nchi ya wanawe.
 
MACHADEMA aka manyumbu hawana maelezo yoyote kuhusu Mbowe kukutana na Rais. Simply ni kwamba Mbowe anafundishwa siasa endelevu akawafundishe hao mifugo wake
wewe unayefugwa ccm ukiwa umejumuishwa na nguruwe wenzio hapo kwenye makorido ya nyuma za serikali zilizogeuzwa ofis za lumumba anza kutafuta kaz za kufanya vinginevyo kimbilia mombasa ukaendeleze kaz yako huko au ubaki ufe njaa maana katiba mpya nguruwe wote mnaofugwa hapo lumumba itawafagia na upumbavu wenu maana mamayenu amemuelewa mbowe kuhusu katiba mpya. Wewe na nguruwe wenzio mtadeki makorido ya lumumba mpaka mzeeke MBOWE OYEEEEEE KATIBA MPYA OYEEEE, NGURUWE KAMA HUYU MLETA KOMENT CHALIIII NA BADO MPAKA KUFIKIA 2025 MTAOKOTA MAKOPO KABISA MTAKE MSITAKE.
 
This picture speaks thousands words!.View attachment 2466088

Kuna vitu vikubwa vizuri hii picha inasema ambavyo havijaandikwa!. Inabidi uwe na observatory eagle eye kuviona!.
  1. Kikawaida Political pictures zinafuata kanuni ya kidplomasia iitwayo reciprocity, wenyeviti wa vyama wakikutana ni wenyeviti.
  2. Wenyeviti wakikutana huku wameandamana na ma VC wao, then wote wawili wataandamana na ma VC wao!. Sio mmoja yuko na VC wake, mwingine yuko kavu kavu!.
  3. Distance between the subjects and proximity and closeness tells something comfortablility, love, trust, openness and readiness!.
  4. Colours of suits and single buttons suits is just an amazing coincidence!, which tells they think alike!.
  5. Kiukweli kabisa usione vyaelea, vimeundwa!. Kuna watu wakiangalia hii picha wanadhani it was simple and easy, na kufikiri it just happened!.
  6. No way, mpaka hapo unapowaona, ujue kuna kazi kubwa background work imefanyika:!.
  7. Kuna watu wamemuombea mtu msamaha, Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye?
  8. Kuna watu wameandika Makala magazetini za kumuombea mtu msamaha!View attachment 2466125
  9. Mtu akasamehewa:!
  10. mambo mazuri yakaanza!, vikao ambavyo vilikwama kuitishwa kutokana na ukosefu wa fedha, pesa zikapatikana!, vikao vikaitishwa!, sasa hata fedha za uendeshaji wa shughuli za chama zimepatikana, mambo sasa yanakwenda, na sio fedha tuu za uendeshaji, hadi fedha za kupiga trips za nje ya nchi pia zimepatikana!.
  11. Haya ni mambo mazuri, kiukweli kabisa mahali ni pazuri, ndugu wanapokaa, wakipata vema na wakipendana.
  12. Tulikotoka ni kugumu, tunako kwenda ni kurahisi, kuzuri!. Tunaelekea pazuri.
Hongereni wote,
Happy New Year!.
Paskali
Kwamba umekuwa ukisema humu jf na kwingineko kuwa wewe ni wakili sasa nakuuliza maswali yafuatayo
1. DPP anapoingiza notice ya NOLLE PROSEQUI mahakamani chini ya Kifungu cha 91(1) cha CPA CAP. 20 huwa anamaanisha msamaha kwa uelewa wako ukiwa kama wakili?

2. Hicho kifungu cha 91(supra) ukikisoma vizuri its wording kinamaanisha msamaha kwa mshtakiwa kwa akili na uelewa wako ukiwa kama wakili basing on the simple knowledge acquired during statutory interpretaion lectures when you were undertaking LLB.

3.Hiyo notice ya NOLLE PROSEQUI chini ya S. 91(supra) DPP anapoiandika na kuiingiza mahakaman sababu anayoiweka kuondoa kesi huwa ni ipi ukiwa kama wakili?
Ndugu nakushauri unapoandika mambo ya kitaaluma na kiyaweka humu unapaswa uelewe kuwa humu jf kuna watu wanauelewa mpana sana narudia mpana sana ila huwa hatutaki kujichoresha tu maana hili jukwaa limevamiwa na wale wafugwaji wa kwenye makorido ya lumumba ili wapate buku saba eg etwege aka kulwa jilala, chinembe,crimea and co. ndio maana huwa tunawajibu kulingana na koments zao za kijinga japo wengine hatuna iq za level zao, so please i humbly invite you to respond on the issues that I have raised hereinabove regarding the release of the Chairman of CHADEMA from criminal prosecution.
 
Wakifanikiwa kupata tume huru na Katiba mpya nadhani na wewe utakuwa huru kuonesha maoni yako kama Gerald na utaomba kura bila kujali any political correctness ili ufikie Malengo yako.

For the time being... ma hater wote wa Mbowe na CDM wameufyata..

Happy New year Mayalla
Mbona Mr Mbowe Yuko pekee yake,wakati Mama Yuko na Kinana!!??
 
Aamina aamina aamina [emoji2972]
Mwenye Enzi Mungu ni mwaminifu kwa nchi yetu Tanzania [emoji1241] na watu wake walahi!
IMG_1606.jpg
 
Kweli wabongo wape picha, hadithi watatengeneza wenyewe
Baada ya kuona tu picha tayari ndugu Pascal ushajua walichojadili au wamekushirikisha walichojadili
 
This picture speaks thousands words!.View attachment 2466088

Kuna vitu vikubwa vizuri hii picha inasema ambavyo havijaandikwa!. Inabidi uwe na observatory eagle eye kuviona!.
  1. Kikawaida Political pictures zinafuata kanuni ya kidplomasia iitwayo reciprocity, wenyeviti wa vyama wakikutana ni wenyeviti.
  2. Wenyeviti wakikutana huku wameandamana na ma VC wao, then wote wawili wataandamana na ma VC wao!. Sio mmoja yuko na VC wake, mwingine yuko kavu kavu!.
  3. Distance between the subjects and proximity and closeness tells something comfortablility, love, trust, openness and readiness!.
  4. Colours of suits and single buttons suits is just an amazing coincidence!, which tells they think alike!.
  5. Kiukweli kabisa usione vyaelea, vimeundwa!. Kuna watu wakiangalia hii picha wanadhani it was simple and easy, na kufikiri it just happened!.
  6. No way, mpaka hapo unapowaona, ujue kuna kazi kubwa background work imefanyika:!.
  7. Kuna watu wamemuombea mtu msamaha, Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye?
  8. Kuna watu wameandika Makala magazetini za kumuombea mtu msamaha!View attachment 2466125
  9. Mtu akasamehewa:!
  10. mambo mazuri yakaanza!, vikao ambavyo vilikwama kuitishwa kutokana na ukosefu wa fedha, pesa zikapatikana!, vikao vikaitishwa!, sasa hata fedha za uendeshaji wa shughuli za chama zimepatikana, mambo sasa yanakwenda, na sio fedha tuu za uendeshaji, hadi fedha za kupiga trips za nje ya nchi pia zimepatikana!.
  11. Haya ni mambo mazuri, kiukweli kabisa mahali ni pazuri, ndugu wanapokaa, wakipata vema na wakipendana.
  12. Tulikotoka ni kugumu, tunako kwenda ni kurahisi, kuzuri!. Tunaelekea pazuri.
Hongereni wote,
Happy New Year!.
Paskali
*The conspiracy cartel voluntarily exposed itself to the public whereas rumors have become realistic to clear speculation of the past. This shall never stand for a long time before vengeance intervenes to scroll justice.
Pole P kwa kusifia mwiba
 
Pascal tuseme hujui kuwa maxungumzo ya maridhiano kati ya CCM na Chadema hayakumhusisha Samia kwa vile ni Rais hivyo CCM iliwakilishwa na Kinana?
Kilichofanyika hapo ni kiongozi wa Chadema na wa CCM kumkabidhi ripoti Rais. Very simple!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
This picture speaks thousands words!.View attachment 2466088

Mahali ni pazuri ndugu wanapo kaa
  1. Haya ni mambo mazuri, kiukweli kabisa mahali ni pazuri, ndugu wanapokaa, wakipata vema na wakipendana.
  2. Tulikotoka ni kugumu, tunako kwenda ni kurahisi, kuzuri!. Tunaelekea pazuri.
Hongereni wote,
Happy New Year!.
Paskali
Mambo mazuri yameanza, mikutano ya hadhara rukhsa, sheria na katiba vinafuatia.
Watanzania Mungu atupe nini!.
P
 
This picture speaks thousands words!.View attachment 2466088

Kuna vitu vikubwa vizuri hii picha inasema ambavyo havijaandikwa!. Inabidi uwe na observatory eagle eye kuviona!.
  1. Kikawaida Political pictures zinafuata kanuni ya kidplomasia iitwayo reciprocity, wenyeviti wa vyama wakikutana ni wenyeviti.
  2. Wenyeviti wakikutana huku wameandamana na ma VC wao, then wote wawili wataandamana na ma VC wao!. Sio mmoja yuko na VC wake, mwingine yuko kavu kavu!.
  3. Distance between the subjects and proximity and closeness tells something comfortablility, love, trust, openness and readiness!.
  4. Colours of suits and single buttons suits is just an amazing coincidence!, which tells they think alike!.
  5. Kiukweli kabisa usione vyaelea, vimeundwa!. Kuna watu wakiangalia hii picha wanadhani it was simple and easy, na kufikiri it just happened!.
  6. No way, mpaka hapo unapowaona, ujue kuna kazi kubwa background work imefanyika:!.
  7. Kuna watu wamemuombea mtu msamaha, Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye?
  8. Kuna watu wameandika Makala magazetini za kumuombea mtu msamaha!View attachment 2466125
  9. Mtu akasamehewa:!
  10. mambo mazuri yakaanza!, vikao ambavyo vilikwama kuitishwa kutokana na ukosefu wa fedha, pesa zikapatikana!, vikao vikaitishwa!, sasa hata fedha za uendeshaji wa shughuli za chama zimepatikana, mambo sasa yanakwenda, na sio fedha tuu za uendeshaji, hadi fedha za kupiga trips za nje ya nchi pia zimepatikana!.
  11. Haya ni mambo mazuri, kiukweli kabisa mahali ni pazuri, ndugu wanapokaa, wakipata vema na wakipendana.
  12. Tulikotoka ni kugumu, tunako kwenda ni kurahisi, kuzuri!. Tunaelekea pazuri.
Hongereni wote,
Happy New Year!.
Paskali
Naunga mkono hoja. Ila hakuna kama Samia, ukubali usikubali. Viongozi wengi wa kisiasa ni watu wa visasi au wabinafsi. Kwa namna Magufuli alivyoendesha nchi miaka 5 iliyopita, kama mbadala wake angekuwa labda Benard Membe, Edward Lowassa, Tundu Lissu etc, siamini kama Tanzania ingekuwa na utulivu huu tulio nao. Nasema Big up mama kuifanya Tanzania nchi yenye utulivu ambayo wapinzani na watawala wote wanajisikia huru kujenga nchi yao.
 
Back
Top Bottom