..Rais Samia Suluhu ameshindwa kuwashawishi viongozi wenzake wampigie kura Raila Odinga.
..enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa, na Kikwete, mgombea aliyeungwa mkono na Tanzania ilikuwa lazima ashinde.
ni wazi hiyo ni miongoni mwa sababu muhimu zilizomkwamisha muungwana,
Mahamoud Yusuph anazungumza zaid ya lugha5 za kigeni ukilinganisha na Raila anaezungumza kiingereza na kiswahili pekee
Issue ya Salim Ahmed ilikuwa ni kutokana na mvutano baina ya US na China, (western vs eastern blocks). US alipiga kura ya veto kwa Salim na China alipiga kwa Kurt Waldheim, matokeo wote waliondolewa na akawekwa de Cueller.Mbona salim Ahmed hakuwa katibu wa UN licha ya kutakiwa na Hyyo unayemwita ana yshawishi lakini koffi Annan aliweza justify your comment
ujuzi wa lugha mbili kuu ni muhimu sana kwa posts kama hizi - english na french.Kama ni hivyo kuna shida mahali. Yaani lugha pekee ndiyo iwe sababu ya kumtupa nje Raila Odinga. Anawez asizungumza lugha nyingi, lkn akawa bora ktk mambo mengi tu
si hivyo tu,Kama ni hivyo kuna shida mahali. Yaani lugha pekee ndiyo iwe sababu ya kumtupa nje Raila Odinga. Anawez asizungumza lugha nyingi, lkn akawa bora ktk mambo mengi tu
Hapo ni sawa na kusema Mwendazake agombee hiyo nafasi sijui angechaguliwa na nani? 😂😂aisee mazee nmeumiaa sanaa baba kalamba chinii
Odinga nae ni Dualingual (English +Swahili) then ana u-multilingual kwa mbali wa French +jaluo accentWa djbout ni multilingual huyo wa Kenya na kiswanglish na poor pronounced
CCM inakujaje hapo???Mmeathiriwa sana na siasa za ccm.
RAO ajiandae tu kupambana na Rutto uchaguzi wa 2027.Huwezi kuwa inatokea Nchi ya wasakiti na vibaraka kama Kenya harafu ukashinda.
Odinga ni mgombea sahihi ilakutoka Nchi ya hovyo 🤣🤣🤣😬
Pole sana Mzee ndio hivyo tena maisha yaendelee.
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1890788433095770264?t=QRzw9yOabqLLKXXgzZhezA&s=19
My Take
Hii ni mara ya pili Kenya kuangukia pua,Tanzania hatujawahi shindwa popote.
View: https://www.instagram.com/p/DGGTdQ-oSgC/?igsh=emRtNDhycXcxcjNu
Naiomɓa hiyo tweet as "evidence to proof " narration yakoWewe Huwa hufuatilii mambo hayo ndio maana hujui kitu.
RAU ni maarufu huku kwenu sio huko kwingine.
Na Kwa taarifa Yako tuu,pamoja na Rais Samia kumualika kwenye mkutano wa Nishati kama njia ya kumnadi ila mgombea wa Djibouti Ali tweet Kwa Samia akisema anapoteza mda,yeye Mahmood ndio atashinda hiyo nafasi 🤣🤣
Huyo kikongwe nani achague? Hawanaga wagombea wengine? 🤣🤣🤣🤣RAO ajiandae tu kupambana na Rutto uchaguzi wa 2027.
Hata tofauti na kibaraka Lisu 😁😁Kila uchaguzi anashindwa
Ni ya siku nyingi,nikipata nitakupaNaiomɓa hiyo tweet as "evidence to proof " narration yako
Hakuna anaeweza mchagua mtu wa Kenya maana hiyo ni mara ya 2 Kwa mgombea wao kupigwa chiniOdinga Hana utulivu wa kiakili hafai kwenye nafasi kubwa hasa hiyo ya AU.
Hata tofauti na kibaraka Lisu 😁😁
Ushabiki ni kitu cha ovyo sana… anashangilia kama atanufaika na chochote🤣Mkuu, au uchaguzi urudiwe? Je, kuna impact yoyote iwapo Raila angeshinda - kwa mfano hapa kwetu bei ya mafuta au sukari au unga ingeshuka?