Duuh...Kwahiyo kama ni open kwanini Mazda na siyo Ame? Tangazo la hilo deal lilitolewa lini wapi? These guys bwana!
Ukiletewa tangazo utafuta comment yako? Usipende kushutumu vitu usivyo na uelewa navyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh...Kwahiyo kama ni open kwanini Mazda na siyo Ame? Tangazo la hilo deal lilitolewa lini wapi? These guys bwana!
Kiburi Ni ego Kama ndio hii inatafuna binadamuKiburi kinaponza. Kimsingi hatekeleze majukumu aliyopewa kama Mkurugenzi.
Dah, wivu na chuki ndo zimefikia hapa?!!!!!Haya ni "MakambaMahaharage"
Majizi tupu! Hakuna lolote hapo!
Huyo Zitto mzee wa fursa, hapo ameuliza Swali elekezi!
Tayari na yeye ni sehemu ya mpango Wizi.
Ina maana kuna Deal Na "Mazda" na sasa linakolezwa taratibu.
Hawa tutakuja kuwanyonga hadharani, kama sio sisi basi watoto wetu watawanyonga watoto wao.
CC MwanamajiKitu nilichokiona Watz wengi wanaongozwa na emotions pamoja na sentiments badala ya uweledi. Ni ajabu mtu kusema sijamsikiliza Maharage mpaka mwisho at the same time anakuja na tantalila za kukosoa! Pia kusema ZZK ni agent wa mabeberu kila kitu anachoongea ametumwa ni sweeping statements.
Maharage has been so transparent so far and the best CEO ambaye anashiriki mikutano ya wadau, anajibu maswali na nzuri zaidi anapokea ushauri. Pia anajitahidi kuwa mkweli na kuepuka kutoa ahadi za kufurahisha umati. Kwahiyo, kwa wale wenye chuki na husda better you man up mje na hoja, mawazo mbadala na solutions na sio kuita watu wezi, wapigaji n.k
Shida ni chuki, wengi humu wamemezeshwa chuki dhidi ya hao jamaa kwahiyo kutwa wako busy kutafuta kila aina ya uchafu na kuwatupia wao. Mioyo yao iliyojaa hasira za kishetani imezuia milango yao yote ya fahamu. Nawahurumia sana.Hiyo ni interview ipo clubhouse itafute yote mbona kaongelea yote hayo ila swali la Zitto ni kwanini hawauzi bond Ili wapate Hela ya kufanya miradi au kwanini hawafanyi PPP kuzalisha umeme?
Ndio kajibu hivyo kuwa issue ni tariff, wengine wanataka wawacharge TANESCO gharama kubwa kwa Kila unit, kaongelea wengine kutaka IRR iwe above 15% Ili warudishe pesa aliyowekeza mapema!! Pia akasema bonds huwezi issue mpaka wawekezaji waone financial soundness ya kampuni mfano debt structure, internal processes (Kaongelea automation) n.k
Tuwe optimistic, Mimi Sina Imani na serikali ya CCM ila Kuna wakati tujadili hoja tukiwa na positive mindset sio kupindisha kilichozungumzwa. Maana mgao hautaki wakati huohuo unaambiwa wanataka kujenga Kinyerezi 3 and 4 nako hutaki, Sasa unataka wafanyeje? What's ur solution
Maharage ameshasema wanakaribisha wadau na terms zao ni umeme wa gesi usivuke 6cents per unit na IRR isivuke 14-16 percent so km huyo Ame anaweza he is welcome with open arms. Hata wew pia km una msuli wa fweza na unakubaliana na terms just go there sio kujaa kijiba na husdaDuuh...Kwahiyo kama ni open kwanini Mazda na siyo Ame? Tangazo la hilo deal lilitolewa lini wapi? These guys bwana!
How does an IRR of an independent investment affect TANESCO kama washaweka vigezo vya kununua kwa unit cost?Maharage ameshasema wanakaribisha wadau na terms zako ni umeme wa gesi usivuke 6cents per unit na IRI isivuke 14-16 percent so km huyo Ame anaweza he is welcome with open arms. Hata wew pia km una msuli wa finance just go there sio kujaa kijiba na husda
Did u listen to Maharage in the first place? Maana unachotaka ni mimi kurudia maneno aliyosema Maharage ambayo tayari kuna video iliyopandishwa jukwaani na mleta uzi which will be time wasting and exhausting kurudia! Bahati mbaya umetawaliw na chuki dhidi ya wahusika hivyo kuziba milango yako yote ya ufahamu. Hebu jaribu kupunguza chuki dhidi ya Maharage umsikilize mpaka mwisho then uje na objective discussionHow does an IRR affect TANESCO kama washaweka vigezo vya kununua unit cost?
Umekazana kuniambia nimetawalwa na chuki wakati uelewi unachoongea?Did u listen to Maharage in the first place? Maana unachotaka ni mimi kurudia maneno aliyosema Maharage ambayo tayari kuna video iliyopandishwa jukwaani na mleta uzi which will be time wasting and exhausting kurudia! Bahati mbaya umetawaliw na chuki dhidi ya wahusika hivyo kuziba milango yako yote ya ufahamu. Hebu jaribu kupunguza chuki dhidi ya Maharage umsikilize mpaka mwisho then uje na objective discussion
Umekazana kuniambia nimetawalwa na chuki wakati uelewi unachoongea?
IRR ya mwekezaji inahusiana vipi na TANESCO kama jukumu lao ni kununua umeme tu at asking unit costs.
Ni hivi the only time TANESCO will be concerned if they have to guarantee fixed payments.
IRR ni payback method appraisal ambayo mwekezaji atakuwa na intrest ya kutaka kujua hela yake inarudi lini given the cashflow.
It has nothing to do with TANESCO
Ujinga mtupu
👋
Wana audience zao za kuwafurahishaMkuu wanatupiga tuu hawa mafisadi...
Hakuna cha open book hapo ni wizi mtupu..
Unaweza kutoa ufafanuzi na hata takwimu kuthibitisha tuhuma hizi nzito dhidi ya Bwana Maharage. Vinginevyo mchango wako unakosa tijaHuyu ni mpiga dili mzuri sana. Anayoyafanya Tanesco ni upuuzi mtupu.
CC Mwanamaji
Ni hivi kwenye biashara hakuna investor anaetaka kutoa hela ambayo leo ina nunua mkate mzima, halafu siku unamrudishia thamani yake kiasi kile kile with inflation kinanunua maandazi mawili huko ni kutupa hela.
Hivyo basi investor wakati anatoa hela in return anataka alipwe yenye thamani ya kununua mkate na apate faida juu. Basically that is what an IRR addresses (as in NPV) kwa kuangalia future value of money sasa anaposema IRR kubwa ni vipi?
Kwa kusaidia tu IRR ina discount rate zake kwa nchi kama Tanzania ambayo shilling is not stable tegemea inflation adjustment itakuwa kubwa, na yeye hela hujui kakopa wapi na wala interest, halafu hapo hapo mwekezaji anataka na faida; so you can imagine the high discount rate.
Sasa hayo yote yasingekuwa shida kwa TANESCO unless mwekezaji anataka government guarantee ya malipo ya uwekezaji wake, vinginevyo hizo risk zingekuwa zake mwenyewe kama kajikita kuuza umeme hasara na faida atakazopata ni zake TANESCO wouldn’t have to worry with the IRR ya watu wengine zaidi ya ku negotiate on unit cost za kununua umeme.
Ndio shida ilipo how do they go about inviting investors with their own set of conditions, hapo ndio kwenye umuhimu wa kuongelea strategic planning…… na mambo mengine luluki ya kuzingatia kwa energy needs za nchi na influence ya siasa za dunia ambazo zinatupa nchi maskini advantage.
Can you see why kwanini niliposikia anaongelea IRR ina wafanya waachane uwekezaji sikutaka ata kusikiliza zaidi.
Huyo Zitto inabidi uelewe how carbon trading works; zina faida gani kwa wawekezaji huko kwao ili waendelee kuchafua wakiwekeza huku hizo greener technologies in the third world (not necessarily a bad thing to us), ila Zitto anatumika kutoa pressure kuingia mikataba ya ovyo kama hiyo ambayo mkurugenzi anayoongelea. Sasa huko ndio kualika privates wakati watu wenyewe wanataka government guarantee.
- A 1999 graduate of BSc in Information & Communication Technology from UDSM and Master of Buisiness Administration degree from the University of South Africa 2008.
- Former Vodacom Tanzania managing executive of IT & Data.
- Former National Bank of Tanzania (NBC) chief operating officer
- Former Regional MD of Multichoice Africa, DSTv Tanzania.
- Former Director of Corporate Services in the President's Delivery Bureu.
- Since September 2021 he is the current MD of our Tanesco where the professional electrical engineers are playing fool of him because he is not a professional electrical engineer. The situation is very sad indeed on our part.
IRR inahusika mkuu, hata financier wa mradi anaweza kuku charge interest kubwa kama mkopo ni wa muda mfupi Kuliko WA muda mrefu so obviously hata mwekezaji naye kama anataka aone faida ya uwekezaji wake (maana anaweza kuwa na hofu ya political uncertainty) ndani ya miaka michache ya mwanzo.Umekazana kuniambia nimetawalwa na chuki wakati uelewi unachoongea?
IRR ya mwekezaji inahusiana vipi na TANESCO kama jukumu lao ni kununua umeme tu at asking unit costs.
Ni hivi the only time TANESCO will be concerned if they have to guarantee fixed payments.
IRR ni payback method appraisal ambayo mwekezaji atakuwa na intrest ya kutaka kujua hela yake inarudi lini given the cashflow.
It has nothing to do with TANESCO
Ujinga mtupu
👋
Hiyo ndio mantiki ya IRR kwa mwekezaji ni mziki wake lakini sio shida za TANESCO.IRR inahusika mkuu, hata financier wa mradi anaweza kuku charge interest kubwa kama mkopo ni wa muda mfupi Kuliko WA muda mrefu so obviously hata mwekezaji naye kama anataka aone faida ya uwekezaji wake (maana anaweza kuwa na hofu ya political uncertainty) ndani ya miaka michache ya mwanzo.
Sasa kurudisha fedha yake itabidi tu ambane TANESCO or rather amuuzie TANESCO umeme kwa bei kubwa per unit mwisho wa siku bei inahamishika kwa sisi raia.
Sasa mpaka hapo utasemaje IRR haiwezi affect investment decision au unit price?
Private sector au U.A.E?Maharage Chande: Fantastic question Zitto, nianze kwenye kuwapa watu binafsi. Ni kweli kama ulivyosema, TANESCO na wizara ya nishati kwa miaka mingi iliyopita, utekelezaji wa miradi kwenda kwa watu binafsi imekuwa inasuasua, inasuasua kwa sababu kihistoria kumekuwa na kujengeka uoga mwingi kutokana miradi mbalimbali ya huko nyuma inayotokea na maneno yanayotokea baada ya hapo na kufuatana fatana kwa watendaji kunakotokea baada ya hapo kiasi watendaji wanakuwa wanaogopa.
Sisi posture yetu hatuogopi na tutafanya hiyo miradi na private sekta lakini kwa private sector pia, hapo zamani kulikuwa na Information asymmetry. Ili uepuke lawama kwenye umeme lazima uwe wazi na sisi ndio posture yetu ya sasa hivi.
Tayari hivi tunavyoongea na wewe kwa mfano, ukisikia tumesaini deal na Mazda ni the open book principle na parameter hizi kwahiyo mpaka tunaingia kaburini tutakuwa na uwezo wa kusimamia decision tuliyoifanya.