Hiyo ni interview ipo clubhouse itafute yote mbona kaongelea yote hayo ila swali la
Zitto ni kwanini hawauzi bond Ili wapate Hela ya kufanya miradi au kwanini hawafanyi PPP kuzalisha umeme?
Ndio kajibu hivyo kuwa issue ni tariff, wengine wanataka wawacharge TANESCO gharama kubwa kwa Kila unit, kaongelea wengine kutaka IRR iwe above 15% Ili warudishe pesa aliyowekeza mapema!! Pia akasema bonds huwezi issue mpaka wawekezaji waone financial soundness ya kampuni mfano debt structure, internal processes (Kaongelea automation) n.k
Tuwe optimistic, Mimi Sina Imani na serikali ya CCM ila Kuna wakati tujadili hoja tukiwa na positive mindset sio kupindisha kilichozungumzwa. Maana mgao hautaki wakati huohuo unaambiwa wanataka kujenga Kinyerezi 3 and 4 nako hutaki, Sasa unataka wafanyeje? What's ur solution