Mtanzania kama mimi wengine sina uhakika, nina chuki na kila mtu anayejipatia mali kwa njia isiyohalali hata kwakuhalalisha yasiyo halali (justifications) pale anapopata nafasi ya kufanya maamuzi kwa niaba ya wengi...Kwanini watanzania wajae tu chuki isiyo na sababu?90% ya JF na Mitandao ya kijamii ipo hivo. Angalia comments baada ya ajali ya precision eti kisa marehemu walikua na PhD wengine wakurugenzi basi watu wakawa wanatoa kejeli kwamba Elimu zao hazijawaokoa, mara mbona Hela zote hizo Bado wameokolewa na mvuvi, mara walikua na dharau sana kwa watu masikini n.k
Tokea pale nikagundua waTanzania wengi Wana chuki sana na watu wanaowazidi kipato na status.
Ingekuwa heri kama ungetafuta sababu in their perspective kuliko kuwa na ego, i.e mine is good yours is bad....Na nikiri tu, watanzania wengi hatupo honest wala objective, tuko very partial!