Maharage Chande: Hatuogopi na tutafanya hiyo miradi na private sekta(Kununua umeme). TANESCO kuuza dhamana(Bonds)

Maharage Chande: Hatuogopi na tutafanya hiyo miradi na private sekta(Kununua umeme). TANESCO kuuza dhamana(Bonds)

Kwanini unasema hawawezi? Why mnapenda zero sum games? Why usishauri namna Gani wapate hizo fedha ila unasema tu HAWAWEZI shows chuki ulizonazo Tu.

2. Wala sio nmechagua convenient time ila waliahidi kuwa umeme utaacha kukatika January and they delivered wakati majority yenu humu mlidai mgao ni sababu hawako competent.

3. Kingine long term wamesema ni gesi na inajengwa pale Kinyerezi 2 extension na Kinyerezi 3 Sasa kivipi unasema sio long term!! Wenzio wanaacha Maji waende kwenye gesi alafu unasema sio sustainable?

4. Unadai mbolea Kuna ufisadi which is pure speculation na inaonyesha how unapenda kuchafua watu out of mere hearsay. Tujitahidi kuwa supportive and optimistic hii kukosoa tu na kuamini hakuna anayeweza ni mindset mbaya sana.

Eti hawawezi!! Kwani wamejaribu wameshindwa? Hivi realistically serikali hata ikisema inauza TANESCO itakosa mteja?? They can restructure the company ama kufungua jipya likiwa fully branded unadhani litakosa wawekezaji?
Unapouza bonds za shirika sokoni potential investors wakununua awasikilizi blah blah za MD wanataka kuona quarterly audited report za shirika wafanye all sorts of appraisals za shirika with that info kabla ya kuamua. Kitu ambacho TANESCO hawafanyi.

What’s apparent as yet TANESCO hawana net operating profits, sasa ikitokea miujiza wakapata hizo hela how are they going to pay dividends za preference shareholders hizi ni lazima zilipwe kila mwaka ni fixed.

Shirika lenyewe linaendeshwa kwa mzaha months of power cuts, any investors will view that as loss of their potential income.

Ni hivi TANESCO awawezi raise hiyo capital sokoni sio kwa sababu nina chuki na mtu, it’s just because it is not managed effectively. Hela pekee watakazoweza pata ni mkopo wa bank na hakuna bank itakayowakopesha without a government guarantee. Kama ilivyokuwa awali so nothing changes pamoja na serikali kutoa madeni ya TANESCO kwenye vitabu vyao.

Huko kwenye uwekezaji mwingine wa PPP za kuzalisha umeme ndio kabisa hakuwezi wavutia watu wa kununua hizo bonds zao.

Greener technologies takes time on return of investment and tend to be higher on unit costs in the first years kushinda gas na hydro ambazo ni major TANESCO sources so far kwa maana hiyo wanaenda jiongezea gharama za uendeshaji zisizo na lazima.

Na motives za TANESCO na wawekezaji kwenye hizo PPP za green technologies ni tofauti sasa kuelezea how carbon trading works ni hadithi nyingine ndeeeefu. Kwa mwenye akili timamu awezi invest hela yake through preference shares za hilo shirika; people do their appraisals ndio maana nikakueleza si wangeshapata hizo hela wanasubiri nini kuuza hizo bonds.
 
Back
Top Bottom