Maharage Chande: Mtanzania Aliyeongoza Taasisi 3 Nyeti ndani ya saa 96

Maharage Chande: Mtanzania Aliyeongoza Taasisi 3 Nyeti ndani ya saa 96

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Ikumbukwe kuwa aliteuliwa mnamo 25/09/2021 kuwa mkurugenzi mkuu wa TANESCO

Na ndani ya saa 96 zilizopita ndugu Maharage Chande ameongoza taasisi 3 nyeti.

1. TANESCO 22/09/2023 (cheo cha awali)
2. TTCL 23/09/2023 (cheo kipya)
3. TPC 25/09/2023 (cheo kipya kabisa)

Nahisi ana kitu unique sana ambacho huenda hatukioni.

JamiiForums ihifadhi hii record na ifanye mawasiliano na Guinness huenda akashika record ya dunia.
 
Ikumbukwe kuwa aliteuliwa mnamo 25/09/2021 kuwa mkurugenzi mkuu wa TANESCO

Na ndani ya saa 96 zilizopita ndugu Maharage Chande ameongoza taasisi 3 nyeti.

1. TANESCO 22/09/2023 (cheo cha awali)
2. TTCL 23/09/2023 (cheo kipya)
3. TPC 25/09/2023 (cheo kipya kabisa)

Nahisi ana kitu unique sana ambacho huenda hatukioni.

JamiiForums ihifadhi hii record na ifanye mawasiliano na Forbes huenda akashika record ya dunia.
sio forbes, ni guiness.
 
Aliapishwa? Ttcl na posta zina unyeti gani wakati zishakufa bado mazishi tu. Tanesco yenyewe imemshinda.
 
Basi Jamani, mwacheni apumzike kwa kazi kubwa alizofanya kwa siku chache, mpeni mda atulie kama Maharage. Duh

Hizi kazi za Umma chapa chapa dengu!

Ndio Ukubwa huo.
 
Back
Top Bottom