Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Au ni pembejeo ....Ndio hapo mtakapojua kama MAHARAGE ni mboga, futari ama supu ya kulia maandazi.
😂🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au ni pembejeo ....Ndio hapo mtakapojua kama MAHARAGE ni mboga, futari ama supu ya kulia maandazi.
😂🤣
Hahahaaa..... Anahisi ni sifa kutengua kila wakati.Mteuwaji ana insanity.Kuna kitu kikali anavuta.
Na sasa yuko Doha anakula tende na haluwa.Zanzibari woyeeew.Machogo mtakomaTena hata bado hamna mboga nyengine labda atapopata mbaazi
Na sasa yuko Doha anakula tende na haluwa.Zanzibari woyeeew.Machogo mtakoma