Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Bado tunamchunguza, kwasasa tumeanza na Kitenge, Mwijaku na Stive Nyerere maana hawa ni ma role model wenu nasema uongo ndugu zangu?Bado DP world kwani hujamueka kwenye malipo
🤣🤣🤣Bado tunamchunguza, kwasasa tumeamza na Kitenge, Mwijaku na Stive Nyerere maana hawa ni ma role model wenu nasema uongo ndugu zangu?
sio forbes, ni guiness.Ikumbukwe kuwa aliteuliwa mnamo 25/09/2021 kuwa mkurugenzi mkuu wa TANESCO
Na ndani ya saa 96 zilizopita ndugu Maharage Chande ameongoza taasisi 3 nyeti.
1. TANESCO 22/09/2023 (cheo cha awali)
2. TTCL 23/09/2023 (cheo kipya)
3. TPC 25/09/2023 (cheo kipya kabisa)
Nahisi ana kitu unique sana ambacho huenda hatukioni.
JamiiForums ihifadhi hii record na ifanye mawasiliano na Forbes huenda akashika record ya dunia.
Asante kwa correctionsio forbes, ni guiness.
Umenikumbusha supu ya pundaNdio hapo mtakapojua kama MAHARAGE ni mboga, futari ama supu ya kulia maandazi.
😂🤣
Huyu jamaa alikuwa kiongozi wa wafunga madish ya DSTV kabla hajateuliwa kuja TANESCO serikali iwe makini na teuzi.Basi Jamani, mwacheni apumzike kwa kazi kubwa alizofanya kwa siku chache, mpeni mda atulie kama Maharage. Duh
Hizi kazi za Umma chapa chapa dengu!
Ndio Ukubwa huo.
Mteuwaji ana insanity.Kuna kitu kikali anavuta.Hata huyo mteuzi wake ana tatizo, hakuna lolote la maana kwenye hizo teuzi.
Tatizo ni Tanganyika hamjielewi , ndio Nyerere akaivamia Zanzibar apate walau watu wenye akili ya uongoziMteuwaji ana insanity.Kuna kitu kikali anavuta.
Na kweli Mzazibar sasa anainyanyua Tanzania na akina Beans.Tatizo ni Tanganyika hamjielewi , ndio Nyerere akaivamia Zanzibar apate walau watu wenye akili ya uongozi
Na kweli Mzazibar sasa anainyanyua Tanzania na akina Beans.