Mtoto wa nzi JF-Expert Member Joined Jun 6, 2012 Posts 10,017 Reaction score 18,537 Sep 26, 2023 #21 makaveli10 said: Ndio hapo mtakapojua kama MAHARAGE ni mboga, futari ama supu ya kulia maandazi. ππ€£ Click to expand... Au ni pembejeo ....
makaveli10 said: Ndio hapo mtakapojua kama MAHARAGE ni mboga, futari ama supu ya kulia maandazi. ππ€£ Click to expand... Au ni pembejeo ....
O ong'wafaza JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 247 Reaction score 107 Sep 26, 2023 #22 Mpaka aseme
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,099 Reaction score 25,347 Sep 26, 2023 #23 balibabambonahi said: Mteuwaji ana insanity.Kuna kitu kikali anavuta. Click to expand... Hahahaaa..... Anahisi ni sifa kutengua kila wakati.
balibabambonahi said: Mteuwaji ana insanity.Kuna kitu kikali anavuta. Click to expand... Hahahaaa..... Anahisi ni sifa kutengua kila wakati.
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 15,771 Reaction score 14,294 Oct 4, 2023 #24 Jagina said: Tena hata bado hamna mboga nyengine labda atapopata mbaazi Click to expand... Na sasa yuko Doha anakula tende na haluwa.Zanzibari woyeeew.Machogo mtakoma
Jagina said: Tena hata bado hamna mboga nyengine labda atapopata mbaazi Click to expand... Na sasa yuko Doha anakula tende na haluwa.Zanzibari woyeeew.Machogo mtakoma
Jagina JF-Expert Member Joined Jan 29, 2019 Posts 8,428 Reaction score 4,022 Oct 4, 2023 #25 balibabambonahi said: Na sasa yuko Doha anakula tende na haluwa.Zanzibari woyeeew.Machogo mtakoma Click to expand... Hapo Hakuna Doha wala Dubai , CCM yeyote usimuamini ni shetani , au mzuri hata kuliko malaika wote ni mashetani tu
balibabambonahi said: Na sasa yuko Doha anakula tende na haluwa.Zanzibari woyeeew.Machogo mtakoma Click to expand... Hapo Hakuna Doha wala Dubai , CCM yeyote usimuamini ni shetani , au mzuri hata kuliko malaika wote ni mashetani tu