Maharage Chande: Si busara kushusha bei ya umeme

Sasa hujui kwamba 27,000 ni bei ya ruzuku? Italeta vipi faida kama 600,000 ya kawaida Bado ni hasara ? Shida mumejaza ujinga vichwani
Sasa kama tutaanza kuzalisha umeme kwa wingi kwanini isiwe ruzuku wajiunge wengi ili pato liongezeke
Alafu bei ya kawaifa ni 321,000 bila nguzo ikiwa na nguzo ni 516,000 kwani kutumia umeme nianasa? Au kila mtu anatakiwa atumie kwaiyo wewe hujui kama umeme ukishuka ninafuu kwa wana nchi?
 
Toka lini nchi za kiafrika bidhaa iliyopanda bei ikashuka ili mwananchi wa chini afaidike?.
Angalia Nauli zilipanda kwa kigezo cha bei ya mafuta ila mafuta yameshuka ziko pale pale Sasa yatakuwa kupanda kufikia bei ile ile iliyosababisha kupanda Nauli na Nauli zitapanda tena
 
Sasa hujui kwamba 27,000 ni bei ya ruzuku? Italeta vipi faida kama 600,000 ya kawaida Bado ni hasara ? Shida mumejaza ujinga vichwani
Mzee, ebu kaa kwenye uhalisia kidogo, epukana na mahaba ya kichama katika kila mada.

Yumkini hata hiyo 27,000 ukawa hujui chanzo chake sio?

Naomba uniambie au ufuatilie kisha uniambie hapa, kisiwa cha Songosongo, wananchi wake wanachajiwaje gharama za umeme!

Ukijibu hilo, utaanza kufikiria upya kuwa kwanini Chande ni mwizi kama boss wake!
 
Mahaba ya chama kipi? Nani kakwambia Mimi ni mwanachama wa Vyama vya siasa?
Huko Songosongo kwenye gas,Ukiwa na gas tayari inajigeuza kuwa umeme?
 
Kweli maharage ni zero. Kavimbiwa kodi zetu!

Watu wanalala njaa bush na mijini Ili pesa kidogo wanayopata iwekwe umeme kuondoa Giza na mbu na bwawa likianza kazi bei ishuke wapumue yeye kashikilia bomba tu!

Ila si yeye Maharage pekee hata kina Maropu akili ni hiyo hiyo ya kinyama tu! Wamesahau majeneza na mwanandani is for all of us! Hata hawajui asilimia 85 ya WaTz ni wakulima wadogo na maskini (peasants) bei ya umeme ikishuka wataongeza japo mlo mmoja kwa siku!

Mwenye Bwawa lake aliejua maana ya kulijenga kalala ila angekuwepo hai angesema wanyonge wasilipe hata mia , matajiri na viwanda ndo vilipe, Magu was special sio hizi takataka!
 
kutoka katika gazeti la mwananchi:

Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Maharage Chande amesema hadhani kama ni busara kushusha bei ya umeme baada ya mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) kuanza uzalishaji.

Chande amebainisha hayo leo Mei 26, 2023 wakati akijibu swali na Mhariri Mtendaji wa gazeti la Nipashe, Beatrice Bandawe aliyetaka kujua kama bei ya umeme itashuka baada ya mradi huo kuanza uzalishaji.
Amesema huwezi kushusha bei ya umeme baada ya kuanza kuzalisha JNHPP wakati hata miundombinu inayojengwa kwa kutumia mapato yanayotokana na uuzwaji wa umeme haijakamilika.

"Mimi sidhani kama ni busara kushusha bei ya umeme ili fedha tutakayobaki nayo ibaki kuhudumia umeme. Hapa ni vizuri kutofautisha bei na gharama, ni vitu viwili tofauti," amesema Chande.

Mkurugenzi huyo ameongeza kwamba ukitaka kukua, usishushe bei ya umeme, bali ubaki vile vile ili yale mapato yatumike kujenga miundombinu na kuendelea kuzalisha umeme

NIONAVYO MIMI:
maharage ametuchukulia sisi watanzania watu wa kupandishiwa tu bei! ni mtu asiyejali hali ya wananchi! hajui kama hilo Bwawa litashusha gharama za uendeshaji kwenye mafuta huko na SONGAS then ndio itumike kufanya mambo mengine:

Watanzania wanataka unafuu wa maisha halafu huyu mpuuzi aliyenogewa hela za walala hoi anakula na kuvimbiwa maharage yake analeta ujinga huu! Sijui ndio akili ya makamba?

No wonder wanatamani kupunguza wafanyakaz wakati Tanesco yenyewe haina watu wa kutosha
Achana na uyo muuza vifurushi vya filamu za Bongo movie pale DSTv kabla ajabebwa na Kipara kuwa DG wa Tanesco.
Mbona vifurushi vya DSTv alikuwa anashusha bei kulingana na upepo wa soko!
 
kutoka katika gazeti la mwananchi:

Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Maharage Chande amesema hadhani kama ni busara kushusha bei ya umeme baada ya mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) kuanza uzalishaji.

Chande amebainisha hayo leo Mei 26, 2023 wakati akijibu swali na Mhariri Mtendaji wa gazeti la Nipashe, Beatrice Bandawe aliyetaka kujua kama bei ya umeme itashuka baada ya mradi huo kuanza uzalishaji.
Amesema huwezi kushusha bei ya umeme baada ya kuanza kuzalisha JNHPP wakati hata miundombinu inayojengwa kwa kutumia mapato yanayotokana na uuzwaji wa umeme haijakamilika.

"Mimi sidhani kama ni busara kushusha bei ya umeme ili fedha tutakayobaki nayo ibaki kuhudumia umeme. Hapa ni vizuri kutofautisha bei na gharama, ni vitu viwili tofauti," amesema Chande.

Mkurugenzi huyo ameongeza kwamba ukitaka kukua, usishushe bei ya umeme, bali ubaki vile vile ili yale mapato yatumike kujenga miundombinu na kuendelea kuzalisha umeme

NIONAVYO MIMI:
maharage ametuchukulia sisi watanzania watu wa kupandishiwa tu bei! ni mtu asiyejali hali ya wananchi! hajui kama hilo Bwawa litashusha gharama za uendeshaji kwenye mafuta huko na SONGAS then ndio itumike kufanya mambo mengine:

Watanzania wanataka unafuu wa maisha halafu huyu mpuuzi aliyenogewa hela za walala hoi anakula na kuvimbiwa maharage yake analeta ujinga huu! Sijui ndio akili ya makamba?

No wonder wanatamani kupunguza wafanyakaz wakati Tanesco yenyewe haina watu wa kutosha

Maelezo na head haviendani hata sijaelewa
 
hana njaa! ukute kuja TANESCO kabembelezwa maana alikuwa DSTV huko! unamtoa mtu kwenye biashara ndogo vile unamleta kwenye mambo ya NATIONAL SECURITY!
Kabembelezwa wapi Mkuu,huyu fala alikuwemo kwenye Big Result Now Project chini ya yule Mzee Omar ambaye kwa sasa ndiye Mwenyekiti wa Bodi ya TANESCO.Baada ya JPM kuivunja BRN ndiyo akapata kazi DSTv.Kwaiyo yupo kwenye circle ya upigaji kitambo!
 
Nafikri Maharage Chande, anaelewa kuwa umeme ukiongezeka kwa kuzalishwa zaidi katika kipindi cha awali hautaweza kuongeza mapato kwa kiwango kikubwa kwa kuwa watumiaji watakuwa hawajaongezeka kwa haraka kiasi cha kuwezesha mauzo kuongezeka, mpaka kwa kipindi kisichopungua miaka mitano mbele ili wateja wengi waunganishwe kwenye mfumo wa ununuzi/utumiaji wa umeme na hivyo kuongeza wanunuzi wa umeme, ieleweke kuwa umeme wa aina hiyo hauihifadhiki baada ya kuzalisha! kwa hilo hata Mjenzi mkuu asingepunguza kwa siku za Mwanzo.
 
kutoka katika gazeti la mwananchi:

Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Maharage Chande amesema hadhani kama ni busara kushusha bei ya umeme baada ya mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) kuanza uzalishaji.

Chande amebainisha hayo leo Mei 26, 2023 wakati akijibu swali na Mhariri Mtendaji wa gazeti la Nipashe, Beatrice Bandawe aliyetaka kujua kama bei ya umeme itashuka baada ya mradi huo kuanza uzalishaji.
Amesema huwezi kushusha bei ya umeme baada ya kuanza kuzalisha JNHPP wakati hata miundombinu inayojengwa kwa kutumia mapato yanayotokana na uuzwaji wa umeme haijakamilika.

"Mimi sidhani kama ni busara kushusha bei ya umeme ili fedha tutakayobaki nayo ibaki kuhudumia umeme. Hapa ni vizuri kutofautisha bei na gharama, ni vitu viwili tofauti," amesema Chande.

Mkurugenzi huyo ameongeza kwamba ukitaka kukua, usishushe bei ya umeme, bali ubaki vile vile ili yale mapato yatumike kujenga miundombinu na kuendelea kuzalisha umeme

NIONAVYO MIMI:
maharage ametuchukulia sisi watanzania watu wa kupandishiwa tu bei! ni mtu asiyejali hali ya wananchi! hajui kama hilo Bwawa litashusha gharama za uendeshaji kwenye mafuta huko na SONGAS then ndio itumike kufanya mambo mengine:

Watanzania wanataka unafuu wa maisha halafu huyu mpuuzi aliyenogewa hela za walala hoi anakula na kuvimbiwa maharage yake analeta ujinga huu! Sijui ndio akili ya makamba?

No wonder wanatamani kupunguza wafanyakaz wakati Tanesco yenyewe haina watu wa kutosha
1. Tozo ya REA kazi yake nini?

2. Mikopo waliyokopa ilikuwa ni uwekezaji au matumizi?

3. Tuliambiwa walifanya tafiti, pembuzi yakinifu nk - na kwamba umeme wa maji ni rahisi na gharama za umeme zitashuka mradi ukikamilika. Why this u-turn?
 
kutoka katika gazeti la mwananchi:

Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Maharage Chande amesema hadhani kama ni busara kushusha bei ya umeme baada ya mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) kuanza uzalishaji.

Chande amebainisha hayo leo Mei 26, 2023 wakati akijibu swali na Mhariri Mtendaji wa gazeti la Nipashe, Beatrice Bandawe aliyetaka kujua kama bei ya umeme itashuka baada ya mradi huo kuanza uzalishaji.
Amesema huwezi kushusha bei ya umeme baada ya kuanza kuzalisha JNHPP wakati hata miundombinu inayojengwa kwa kutumia mapato yanayotokana na uuzwaji wa umeme haijakamilika.

"Mimi sidhani kama ni busara kushusha bei ya umeme ili fedha tutakayobaki nayo ibaki kuhudumia umeme. Hapa ni vizuri kutofautisha bei na gharama, ni vitu viwili tofauti," amesema Chande.

Mkurugenzi huyo ameongeza kwamba ukitaka kukua, usishushe bei ya umeme, bali ubaki vile vile ili yale mapato yatumike kujenga miundombinu na kuendelea kuzalisha umeme

NIONAVYO MIMI:
maharage ametuchukulia sisi watanzania watu wa kupandishiwa tu bei! ni mtu asiyejali hali ya wananchi! hajui kama hilo Bwawa litashusha gharama za uendeshaji kwenye mafuta huko na SONGAS then ndio itumike kufanya mambo mengine:

Watanzania wanataka unafuu wa maisha halafu huyu mpuuzi aliyenogewa hela za walala hoi anakula na kuvimbiwa maharage yake analeta ujinga huu! Sijui ndio akili ya makamba?

No wonder wanatamani kupunguza wafanyakaz wakati Tanesco yenyewe haina watu wa kutosha
Hivi kwa umri wako bado hujui kuwa bei ya vitu zinaenda direction moja tu In Long run iitwayo juu ama kupanda, ni sawa na nauli, ikishapanda ni imepanda hiyo,
 
Back
Top Bottom