Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,059
Walisema watauza umeme nje (export) - Kenya, Ethiopia hata Rwanda walitajwa kuwa ni wateja wanaosubiri huduma (walio kwenye waiting list) sasa nini kimetokea?
Maana huwezi wekeza matrilioni ya hela halafu ufanye kudunduliza makusanyo. Hiyo ni gambling sio investment
Maana huwezi wekeza matrilioni ya hela halafu ufanye kudunduliza makusanyo. Hiyo ni gambling sio investment