Alafu bei ya kawaifa ni 321,000 bila nguzo ikiwa na nguzo ni 516,000 kwani kutumia umeme nianasa? Au kila mtu anatakiwa atumie kwaiyo wewe hujui kama umeme ukishuka ninafuu kwa wana nchi?Sasa kama tutaanza kuzalisha umeme kwa wingi kwanini isiwe ruzuku wajiunge wengi ili pato liongezekeSasa hujui kwamba 27,000 ni bei ya ruzuku? Italeta vipi faida kama 600,000 ya kawaida Bado ni hasara ? Shida mumejaza ujinga vichwani
Angalia Nauli zilipanda kwa kigezo cha bei ya mafuta ila mafuta yameshuka ziko pale pale Sasa yatakuwa kupanda kufikia bei ile ile iliyosababisha kupanda Nauli na Nauli zitapanda tenaToka lini nchi za kiafrika bidhaa iliyopanda bei ikashuka ili mwananchi wa chini afaidike?.
Mzee, ebu kaa kwenye uhalisia kidogo, epukana na mahaba ya kichama katika kila mada.Sasa hujui kwamba 27,000 ni bei ya ruzuku? Italeta vipi faida kama 600,000 ya kawaida Bado ni hasara ? Shida mumejaza ujinga vichwani
Mahaba ya chama kipi? Nani kakwambia Mimi ni mwanachama wa Vyama vya siasa?Mzee, ebu kaa kwenye uhalisia kidogo, epukana na mahaba ya kichama katika kila mada.
Yumkini hata hiyo 27,000 ukawa hujui chanzo chake sio?
Naomba uniambie au ufuatilie kisha uniambie hapa, kisiwa cha Songosongo, wananchi wake wanachajiwaje gharama za umeme!
Ukijibu hilo, utaanza kufikiria upya kuwa kwanini Chande ni mwizi kama boss wake!
Umeamua kuja kujitetea? Mnatuona wajinga sana siku hizi. Hili nalo nendeni mkalitizame.Toa ujinga wako hapa,kwanza ulimsikiliza hoja yake au unaropoka tuu? Kwanza wapi aliposema bei ipande? Ujinga Huwa ni shida sana
Tatizo mmejaza maharage kichwani!Sasa hujui kwamba 27,000 ni bei ya ruzuku? Italeta vipi faida kama 600,000 ya kawaida Bado ni hasara ? Shida mumejaza ujinga vichwani
Achana na uyo muuza vifurushi vya filamu za Bongo movie pale DSTv kabla ajabebwa na Kipara kuwa DG wa Tanesco.kutoka katika gazeti la mwananchi:
Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Maharage Chande amesema hadhani kama ni busara kushusha bei ya umeme baada ya mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) kuanza uzalishaji.
Chande amebainisha hayo leo Mei 26, 2023 wakati akijibu swali na Mhariri Mtendaji wa gazeti la Nipashe, Beatrice Bandawe aliyetaka kujua kama bei ya umeme itashuka baada ya mradi huo kuanza uzalishaji.
Amesema huwezi kushusha bei ya umeme baada ya kuanza kuzalisha JNHPP wakati hata miundombinu inayojengwa kwa kutumia mapato yanayotokana na uuzwaji wa umeme haijakamilika.
"Mimi sidhani kama ni busara kushusha bei ya umeme ili fedha tutakayobaki nayo ibaki kuhudumia umeme. Hapa ni vizuri kutofautisha bei na gharama, ni vitu viwili tofauti," amesema Chande.
Mkurugenzi huyo ameongeza kwamba ukitaka kukua, usishushe bei ya umeme, bali ubaki vile vile ili yale mapato yatumike kujenga miundombinu na kuendelea kuzalisha umeme
NIONAVYO MIMI:
maharage ametuchukulia sisi watanzania watu wa kupandishiwa tu bei! ni mtu asiyejali hali ya wananchi! hajui kama hilo Bwawa litashusha gharama za uendeshaji kwenye mafuta huko na SONGAS then ndio itumike kufanya mambo mengine:
Watanzania wanataka unafuu wa maisha halafu huyu mpuuzi aliyenogewa hela za walala hoi anakula na kuvimbiwa maharage yake analeta ujinga huu! Sijui ndio akili ya makamba?
No wonder wanatamani kupunguza wafanyakaz wakati Tanesco yenyewe haina watu wa kutosha
kutoka katika gazeti la mwananchi:

Kabembelezwa wapi Mkuu,huyu fala alikuwemo kwenye Big Result Now Project chini ya yule Mzee Omar ambaye kwa sasa ndiye Mwenyekiti wa Bodi ya TANESCO.Baada ya JPM kuivunja BRN ndiyo akapata kazi DSTv.Kwaiyo yupo kwenye circle ya upigaji kitambo!hana njaa! ukute kuja TANESCO kabembelezwa maana alikuwa DSTV huko! unamtoa mtu kwenye biashara ndogo vile unamleta kwenye mambo ya NATIONAL SECURITY!
1. Tozo ya REA kazi yake nini?kutoka katika gazeti la mwananchi:
Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Maharage Chande amesema hadhani kama ni busara kushusha bei ya umeme baada ya mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) kuanza uzalishaji.
Chande amebainisha hayo leo Mei 26, 2023 wakati akijibu swali na Mhariri Mtendaji wa gazeti la Nipashe, Beatrice Bandawe aliyetaka kujua kama bei ya umeme itashuka baada ya mradi huo kuanza uzalishaji.
Amesema huwezi kushusha bei ya umeme baada ya kuanza kuzalisha JNHPP wakati hata miundombinu inayojengwa kwa kutumia mapato yanayotokana na uuzwaji wa umeme haijakamilika.
"Mimi sidhani kama ni busara kushusha bei ya umeme ili fedha tutakayobaki nayo ibaki kuhudumia umeme. Hapa ni vizuri kutofautisha bei na gharama, ni vitu viwili tofauti," amesema Chande.
Mkurugenzi huyo ameongeza kwamba ukitaka kukua, usishushe bei ya umeme, bali ubaki vile vile ili yale mapato yatumike kujenga miundombinu na kuendelea kuzalisha umeme
NIONAVYO MIMI:
maharage ametuchukulia sisi watanzania watu wa kupandishiwa tu bei! ni mtu asiyejali hali ya wananchi! hajui kama hilo Bwawa litashusha gharama za uendeshaji kwenye mafuta huko na SONGAS then ndio itumike kufanya mambo mengine:
Watanzania wanataka unafuu wa maisha halafu huyu mpuuzi aliyenogewa hela za walala hoi anakula na kuvimbiwa maharage yake analeta ujinga huu! Sijui ndio akili ya makamba?
No wonder wanatamani kupunguza wafanyakaz wakati Tanesco yenyewe haina watu wa kutosha
Waliopewa dhamana sio ndio hawa hawa fisiemu?????Maoni yake MC na siyo msimamo wa serikali , ngoja waje waliopewa dhamana ya kuongoza nchi wataweka Sawa Hilo.
Hivi kwa umri wako bado hujui kuwa bei ya vitu zinaenda direction moja tu In Long run iitwayo juu ama kupanda, ni sawa na nauli, ikishapanda ni imepanda hiyo,kutoka katika gazeti la mwananchi: