Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,059
[emoji481][emoji359][emoji350][emoji807][emoji3496][emoji355][emoji848]kutoka katika gazeti la mwananchi:
Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Maharage Chande amesema hadhani kama ni busara kushusha bei ya umeme baada ya mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) kuanza uzalishaji.
Chande amebainisha hayo leo Mei 26, 2023 wakati akijibu swali na Mhariri Mtendaji wa gazeti la Nipashe, Beatrice Bandawe aliyetaka kujua kama bei ya umeme itashuka baada ya mradi huo kuanza uzalishaji.
Amesema huwezi kushusha bei ya umeme baada ya kuanza kuzalisha JNHPP wakati hata miundombinu inayojengwa kwa kutumia mapato yanayotokana na uuzwaji wa umeme haijakamilika.
"Mimi sidhani kama ni busara kushusha bei ya umeme ili fedha tutakayobaki nayo ibaki kuhudumia umeme. Hapa ni vizuri kutofautisha bei na gharama, ni vitu viwili tofauti," amesema Chande.
Mkurugenzi huyo ameongeza kwamba ukitaka kukua, usishushe bei ya umeme, bali ubaki vile vile ili yale mapato yatumike kujenga miundombinu na kuendelea kuzalisha umeme
NIONAVYO MIMI:
maharage ametuchukulia sisi watanzania watu wa kupandishiwa tu bei! ni mtu asiyejali hali ya wananchi! hajui kama hilo Bwawa litashusha gharama za uendeshaji kwenye mafuta huko na SONGAS then ndio itumike kufanya mambo mengine:
Watanzania wanataka unafuu wa maisha halafu huyu mpuuzi aliyenogewa hela za walala hoi anakula na kuvimbiwa maharage yake analeta ujinga huu! Sijui ndio akili ya makamba?
No wonder wanatamani kupunguza wafanyakaz wakati Tanesco yenyewe haina watu wa kutosha
Na waliweka makato ya miamala kujenga hospitality na madarasa bado wakakopa kwa ajiri hiyo hiyo na sasa sijui hawajamaliza make hawataki kufutaAngalia Nauli zilipanda kwa kigezo cha bei ya mafuta ila mafuta yameshuka ziko pale pale Sasa yatakuwa kupanda kufikia bei ile ile iliyosababisha kupanda Nauli na Nauli zitapanda tena
Kitakuwa kiama hikoToka lini nchi za kiafrika bidhaa iliyopanda bei ikashuka ili mwananchi wa chini afaidike?.
Anaona umeme ni anasa kama dikoda za DSTV. Umeme ni basic kwa manufacturing and production. Huyu jamaa arudi tu kwenye banking and entertainment. Umeme ni tofauti.kutoka katika gazeti la mwananchi:
Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Maharage Chande amesema hadhani kama ni busara kushusha bei ya umeme baada ya mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) kuanza uzalishaji.
Chande amebainisha hayo leo Mei 26, 2023 wakati akijibu swali na Mhariri Mtendaji wa gazeti la Nipashe, Beatrice Bandawe aliyetaka kujua kama bei ya umeme itashuka baada ya mradi huo kuanza uzalishaji.
Amesema huwezi kushusha bei ya umeme baada ya kuanza kuzalisha JNHPP wakati hata miundombinu inayojengwa kwa kutumia mapato yanayotokana na uuzwaji wa umeme haijakamilika.
"Mimi sidhani kama ni busara kushusha bei ya umeme ili fedha tutakayobaki nayo ibaki kuhudumia umeme. Hapa ni vizuri kutofautisha bei na gharama, ni vitu viwili tofauti," amesema Chande.
Mkurugenzi huyo ameongeza kwamba ukitaka kukua, usishushe bei ya umeme, bali ubaki vile vile ili yale mapato yatumike kujenga miundombinu na kuendelea kuzalisha umeme
NIONAVYO MIMI:
maharage ametuchukulia sisi watanzania watu wa kupandishiwa tu bei! ni mtu asiyejali hali ya wananchi! hajui kama hilo Bwawa litashusha gharama za uendeshaji kwenye mafuta huko na SONGAS then ndio itumike kufanya mambo mengine:
Watanzania wanataka unafuu wa maisha halafu huyu mpuuzi aliyenogewa hela za walala hoi anakula na kuvimbiwa maharage yake analeta ujinga huu! Sijui ndio akili ya makamba?
No wonder wanatamani kupunguza wafanyakaz wakati Tanesco yenyewe haina watu wa kutosha
Yupo sahihi kivipi nchi zote zilizoendelea kiviwanda kama china zilipambana kuhakikisha bei ya umeme inashuka hii itasaidia bidhaa kuwa na ushindani kwenye sokoChade yupo sahihi
Teyarkutoka katika gazeti la mwananchi:
Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Maharage Chande amesema hadhani kama ni busara kushusha bei ya umeme baada ya mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) kuanza uzalishaji.
Chande amebainisha hayo leo Mei 26, 2023 wakati akijibu swali na Mhariri Mtendaji wa gazeti la Nipashe, Beatrice Bandawe aliyetaka kujua kama bei ya umeme itashuka baada ya mradi huo kuanza uzalishaji.
Amesema huwezi kushusha bei ya umeme baada ya kuanza kuzalisha JNHPP wakati hata miundombinu inayojengwa kwa kutumia mapato yanayotokana na uuzwaji wa umeme haijakamilika.
"Mimi sidhani kama ni busara kushusha bei ya umeme ili fedha tutakayobaki nayo ibaki kuhudumia umeme. Hapa ni vizuri kutofautisha bei na gharama, ni vitu viwili tofauti," amesema Chande.
Mkurugenzi huyo ameongeza kwamba ukitaka kukua, usishushe bei ya umeme, bali ubaki vile vile ili yale mapato yatumike kujenga miundombinu na kuendelea kuzalisha umeme
NIONAVYO MIMI:
maharage ametuchukulia sisi watanzania watu wa kupandishiwa tu bei! ni mtu asiyejali hali ya wananchi! hajui kama hilo Bwawa litashusha gharama za uendeshaji kwenye mafuta huko na SONGAS then ndio itumike kufanya mambo mengine:
Watanzania wanataka unafuu wa maisha halafu huyu mpuuzi aliyenogewa hela za walala hoi anakula na kuvimbiwa maharage yake analeta ujinga huu! Sijui ndio akili ya makamba?
No wonder wanatamani kupunguza wafanyakaz wakati Tanesco yenyewe haina watu wa kutosha
Sisi tulishajuwa mwenyedhumuni lake kafa ndio bas Tena. Dhumuni ni kupunguza bei na nishati Kwa wingi kumkwamua masikini kupita nishati ya umeme ,sababu umeme tunauwezo nao ,mafuta atunauwezo wakuyapata, Sasa yameingia maharage tutakula maharage sio nyama na sato za chatoTena, mungu iokiwe Tena nchiyangu maana wanajuwa awataiachia Tena nakuomba mungu wafanyie Tena maajabukutoka katika gazeti la mwananchi:
Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Maharage Chande amesema hadhani kama ni busara kushusha bei ya umeme baada ya mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) kuanza uzalishaji.
Chande amebainisha hayo leo Mei 26, 2023 wakati akijibu swali na Mhariri Mtendaji wa gazeti la Nipashe, Beatrice Bandawe aliyetaka kujua kama bei ya umeme itashuka baada ya mradi huo kuanza uzalishaji.
Amesema huwezi kushusha bei ya umeme baada ya kuanza kuzalisha JNHPP wakati hata miundombinu inayojengwa kwa kutumia mapato yanayotokana na uuzwaji wa umeme haijakamilika.
"Mimi sidhani kama ni busara kushusha bei ya umeme ili fedha tutakayobaki nayo ibaki kuhudumia umeme. Hapa ni vizuri kutofautisha bei na gharama, ni vitu viwili tofauti," amesema Chande.
Mkurugenzi huyo ameongeza kwamba ukitaka kukua, usishushe bei ya umeme, bali ubaki vile vile ili yale mapato yatumike kujenga miundombinu na kuendelea kuzalisha umeme
NIONAVYO MIMI:
maharage ametuchukulia sisi watanzania watu wa kupandishiwa tu bei! ni mtu asiyejali hali ya wananchi! hajui kama hilo Bwawa litashusha gharama za uendeshaji kwenye mafuta huko na SONGAS then ndio itumike kufanya mambo mengine:
Watanzania wanataka unafuu wa maisha halafu huyu mpuuzi aliyenogewa hela za walala hoi anakula na kuvimbiwa maharage yake analeta ujinga huu! Sijui ndio akili ya makamba?
No wonder wanatamani kupunguza wafanyakaz wakati Tanesco yenyewe haina watu wa kutosha
PumbavuuChade yupo sahihi
Kuna wapumbavu wengi sana nchi hii.Kwa hoja aliyoijenga Yuko sahihi Asilimia 200
Ujielewi kazi kubwa ya serikali ni kuhakikisha wananchi wanapata huduma za lazima. Hata kwa kukopa njeSasa hujui kwamba 27,000 ni bei ya ruzuku? Italeta vipi faida kama 600,000 ya kawaida Bado ni hasara ? Shida mumejaza ujinga vichwani
hana njaa! ukute kuja TANESCO kabembelezwa maana alikuwa DSTV huko! unamtoa mtu kwenye biashara ndogo vile unamleta kwenye mambo ya NATIONAL SECURITY!
Lengo la aliyeanza ujenzi wa hilo bwawa likikuwa ni upatikanaji wa umeme wa uhakika na mwingi pamoja na kushusha bei ili kuvutia uwekezaji maana gharama za uendeshaji wa zitakuwa cheap tofauti na mitambo ya Ges etc!kutoka katika gazeti la mwananchi:
Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Maharage Chande amesema hadhani kama ni busara kushusha bei ya umeme baada ya mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) kuanza uzalishaji.
Chande amebainisha hayo leo Mei 26, 2023 wakati akijibu swali na Mhariri Mtendaji wa gazeti la Nipashe, Beatrice Bandawe aliyetaka kujua kama bei ya umeme itashuka baada ya mradi huo kuanza uzalishaji.
Amesema huwezi kushusha bei ya umeme baada ya kuanza kuzalisha JNHPP wakati hata miundombinu inayojengwa kwa kutumia mapato yanayotokana na uuzwaji wa umeme haijakamilika.
"Mimi sidhani kama ni busara kushusha bei ya umeme ili fedha tutakayobaki nayo ibaki kuhudumia umeme. Hapa ni vizuri kutofautisha bei na gharama, ni vitu viwili tofauti," amesema Chande.
Mkurugenzi huyo ameongeza kwamba ukitaka kukua, usishushe bei ya umeme, bali ubaki vile vile ili yale mapato yatumike kujenga miundombinu na kuendelea kuzalisha umeme
NIONAVYO MIMI:
maharage ametuchukulia sisi watanzania watu wa kupandishiwa tu bei! ni mtu asiyejali hali ya wananchi! hajui kama hilo Bwawa litashusha gharama za uendeshaji kwenye mafuta huko na SONGAS then ndio itumike kufanya mambo mengine:
Watanzania wanataka unafuu wa maisha halafu huyu mpuuzi aliyenogewa hela za walala hoi anakula na kuvimbiwa maharage yake analeta ujinga huu! Sijui ndio akili ya makamba?
No wonder wanatamani kupunguza wafanyakaz wakati Tanesco yenyewe haina watu wa kutosha
Lengo la mradi ulikuwa upatikanaji wa umeme wa uhakika pamoja na kushuka kwa bei ya umeme per unit ili kuvutia uwekezaji!Tatizo ni ujinga wa Watanzania na uongo wa wanasiasa. Hili tulishaliona na kulijadili zamani tu.
Wanasiasa wakitaka kuanzisha mradi basi wanawadanganya wananchi kwamba mradi ukiisha mambo yatakuwa mazuri na gharama zitashuka, wakati si kweli kwa sababu wanakuwa wameanzisha huo mradi kwa kukopa pesa.
Hapo na bado SGR ikikamilika ni lazima bei ya nauli ipande.
Wanasiasa wajifunze kuwaambia ukweli wananchi.
Kwa Tanzania hii, Serikali ikikopa pesa na kuyapeleka maji ya ziwa Viktoria Dodoma, lazima yatapanda
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Bahati mbaya sana ma-sadists, furaha yao huwa inajengwa au inakamilika kwa kuona maumivu/mateso ya watu wengine. Asilimia kubwa (siyo wote) ya viongozi wetu ni professional sadists. Wanafurahia zaidi vilio na malalamiko ya wale wanaowaongoza badala ya kujitahidi kupunguza kama si kuondoa kabisa kero mbalimbali zinazowakabili.kutoka katika gazeti la mwananchi:
Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Maharage Chande amesema hadhani kama ni busara kushusha bei ya umeme baada ya mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) kuanza uzalishaji.
Chande amebainisha hayo leo Mei 26, 2023 wakati akijibu swali na Mhariri Mtendaji wa gazeti la Nipashe, Beatrice Bandawe aliyetaka kujua kama bei ya umeme itashuka baada ya mradi huo kuanza uzalishaji.
Amesema huwezi kushusha bei ya umeme baada ya kuanza kuzalisha JNHPP wakati hata miundombinu inayojengwa kwa kutumia mapato yanayotokana na uuzwaji wa umeme haijakamilika.
"Mimi sidhani kama ni busara kushusha bei ya umeme ili fedha tutakayobaki nayo ibaki kuhudumia umeme. Hapa ni vizuri kutofautisha bei na gharama, ni vitu viwili tofauti," amesema Chande.
Mkurugenzi huyo ameongeza kwamba ukitaka kukua, usishushe bei ya umeme, bali ubaki vile vile ili yale mapato yatumike kujenga miundombinu na kuendelea kuzalisha umeme
NIONAVYO MIMI:
maharage ametuchukulia sisi watanzania watu wa kupandishiwa tu bei! ni mtu asiyejali hali ya wananchi! hajui kama hilo Bwawa litashusha gharama za uendeshaji kwenye mafuta huko na SONGAS then ndio itumike kufanya mambo mengine:
Watanzania wanataka unafuu wa maisha halafu huyu mpuuzi aliyenogewa hela za walala hoi anakula na kuvimbiwa maharage yake analeta ujinga huu! Sijui ndio akili ya makamba?
No wonder wanatamani kupunguza wafanyakaz wakati Tanesco yenyewe haina watu wa kutosha
Chama Samia mkuu!Mahaba ya chama kipi? Nani kakwambia Mimi ni mwanachama wa Vyama vya siasa?
Huko Songosongo kwenye gas,Ukiwa na gas tayari inajigeuza kuwa umeme?