Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Msema kweli ni Mpenzi wa MunguIla kiuhalisia hiyo bei ni hasara kwa shirika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msema kweli ni Mpenzi wa MunguIla kiuhalisia hiyo bei ni hasara kwa shirika
Nionavyo mimi.Kipindi cha Jpm na makamu wa rais umeme wa 27,000/-.Jina maharage
Mwisho wa mwaka wakitangaza hasara ya shirika msipige kelele [emoji56]Tanesco ni Huduma siyo biashara!
Tuna rais wa ajabu kuwahi kutokea! Tundu.Hilo swali muulize Samia mwenyewe kigeugeu, enzi za mwendazake alisema 27000 ndio mpango mzima, leo kakamata ofisu yeye anasema 27000 ni usanii haitoshi
unaHuyo kweli ni maharage
Vya bure hakuna,mnapewa makavu
Hapo namimi inanichanganya sio wote wanaokaa mjini wanauwezo, na pia utakuta nguzo za umeme ipo barazani kazi ya tanesco nikushusha waya tu harafu huyu mtu anaambiwa atoe laki 5 na kuna mtu mwingine yupo kijiji kiuchumi yupo vizuri na kwake kunaitaji nguzo mbili kuvuta umeme kisha analipa sh27000 kidogo inachanganyaUmeme uingie bure ndani ya nyumba, yaani wiring nyaya zangu Alafu nguzo ipo uwanjani kwangu kuingiza ndani kwa wire wa TANESCO kama mita 5,tu wanataka nilipe laki 5 ya nn? Hivi shirika la umeme linapata hasara kivipi? Yaani waibe wao alafu wasingizie bei ya 27,000 ndio chanzo. Mama Amina sana Tanesco hawa
Mkurugenzi amesema ukweli. Gharama ya kuunganisha umeme ni kubwa maradufu ya hicho kiasi cha 27,000. Jiulize bei ya nguzo moja sh. ngapi? Bei ya waya (nadhani imported) bei gani? Mishahara ya watumishi, gharama nyingine za miundombinu na uendeshaji ni kiasi gani? Msichukulie serious populist waliokua wanajitafutia sifa za kijinga awamu iliyopita. Wengi wetu elimu bado sana- no wonder tulidanganywa sisi ni matajiri tukashangilia. Tunajenga kwa fedha zetu tukashangilia. Unaweza kukalia dhahabu huku huna maji Safi, huna dawa hospitalini, watoto wachanga & wajawazito wanakufa kwa kukosa huduma halafu unjiita tajiri? Mashule hakuna waalimu, hakuna vyoo, madawati etc. Eti Dona cantri! Umeme wa 27,000/= hakuna- that is a plain truth.Leo tarehe 23.02.2022 mkurugenzi wa TANESCO, MAHARAGE CHANDE ameongea na vyombo vya habari kwa kueleza umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27, 000/= tuache kupeana maneno matamu matamu katika kuendesha shirika hilo. Amesema ni vigumu sana kutofautisha mjini na vijijini kwani wote wanahitaji huduma hiyo kitu ambacho inasababisha shirika hilo kujiendesha kwa hasara kubwa!
Aidha kwa maoni yangu waziri wa nishati na Naibu wake je wakati wakiwasilisha taarifa mbalimbali za utendaji wa shirika hilo hawakai na wataalamu wakaambiwa kuhusu bei hizo za kuunganishiwa umeme?
Kutokana na kauli hizo kati ya waziri na mkurugenzi wa Tanesco ni kauli zipi ambazo umma utakuja kuziamini kutokana na mkanga'nyiko huo ambao hauleweki wa umeme wa tsh 27,000/=?
Ni hatari sana kwa mkurugenzi wa Tanesco kuambia umma kuwa unawezaje kununua tv ya sh 1,000,000/= halafu uhitaji umeme wa tsh 27000/= akumbuke kuwa hii nchi ni ya kwetu sote hata hivyo kutokana na nyakati tulizopo tulihitaji umeme wa gharama ya chini na siyo kukatisha tamaa umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27,000/=.
Kwa hali hiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana kila sababu kufatilia kwa karibu utendaji wa shiraka hilo na Wizara ya Nishati kwa ujumla kwani tayari wananchi wameshaanza kutokuwa na imani na watendaji wa Tanesco na wizara husika.
Kwa hiyo hoja yako ni nini? Kwani hayo unayoyasema Tanesco haifanyi?👇Nani kasema bure hapa.!
Umeme tunanunua LUKU, sio bure…. ni jukumu la muuzaji kusambaza huduma kwa mtaji wake ili apate wateja wengi zaidi.
Hiyo nguzo sijui mita unayoilipia sio mali yako.
Wew huelewi kitu ukishaawekewa umeme mpaka mwaka unaisha unakuwa umewapaia tanesco sh ngapiMkurugenzi amesema ukweli. Gharama ya kuunganisha umeme ni kubwa maradufu ya hicho kiasi cha 27,000. Jiulize bei ya nguzo moja sh. ngapi? Bei ya waya (nadhani imported) bei gani? Mishahara ya watumishi, gharama nyingine za miundombinu na uendeshaji ni kiasi gani? Msichukulie serious populist waliokua wanajitafutia sifa za kijinga awamu iliyopita. Wengi wetu elimu bado sana- no wonder tulidanganywa sisi ni matajiri tukashangilia. Tunajenga kwa fedha zetu tukashangilia. Unaweza kukalia dhahabu huku huna maji Safi, huna dawa hospitalini, watoto wachanga & wajawazito wanakufa kwa kukosa huduma halafu unjiita tajiri? Mashule hakuna waalimu, hakuna vyoo, madawati etc. Eti Dona cantri! Umeme wa 27,000/= hakuna- that is a plain truth.
huyu ma february ma rope ....! alikuwa anaonekana kichwa sana kumbe hamna kitu kabisaLeo tarehe 23.02.2022 mkurugenzi wa TANESCO, MAHARAGE CHANDE ameongea na vyombo vya habari kwa kueleza umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27, 000/= tuache kupeana maneno matamu matamu katika kuendesha shirika hilo. Amesema ni vigumu sana kutofautisha mjini na vijijini kwani wote wanahitaji huduma hiyo kitu ambacho inasababisha shirika hilo kujiendesha kwa hasara kubwa!
Aidha kwa maoni yangu waziri wa nishati na Naibu wake je wakati wakiwasilisha taarifa mbalimbali za utendaji wa shirika hilo hawakai na wataalamu wakaambiwa kuhusu bei hizo za kuunganishiwa umeme?
Kutokana na kauli hizo kati ya waziri na mkurugenzi wa Tanesco ni kauli zipi ambazo umma utakuja kuziamini kutokana na mkanga'nyiko huo ambao hauleweki wa umeme wa tsh 27,000/=?
Ni hatari sana kwa mkurugenzi wa Tanesco kuambia umma kuwa unawezaje kununua tv ya sh 1,000,000/= halafu uhitaji umeme wa tsh 27000/= akumbuke kuwa hii nchi ni ya kwetu sote hata hivyo kutokana na nyakati tulizopo tulihitaji umeme wa gharama ya chini na siyo kukatisha tamaa umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27,000/=.
Kwa hali hiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana kila sababu kufatilia kwa karibu utendaji wa shiraka hilo na Wizara ya Nishati kwa ujumla kwani tayari wananchi wameshaanza kutokuwa na imani na watendaji wa Tanesco na wizara husika.
Kwani kuwa DG lazima utoke kwenye tathmia ya umeme? 👇Huyu bwana hakutoka ktk tasnia ya umeme hata kdg!
Anyway, sijui alifikaje hapo na huenda yupo hapo kwa ajili ya ule mpango kazi kufanikisha ile azma yao ya 'gas'
Tusipotoshe umma, kama ni mteja wa njia moja kwa mjini bei ya kuunganisha ni 320,960 na hapo ni umbali hadi mita 30.....sasa kama uko ndani ya mita tano unapaswa kulipa hiyo.Umeme uingie bure ndani ya nyumba, yaani wiring nyaya zangu Alafu nguzo ipo uwanjani kwangu kuingiza ndani kwa wire wa TANESCO kama mita 5,tu wanataka nilipe laki 5 ya nn? Hivi shirika la umeme linapata hasara kivipi? Yaani waibe wao alafu wasingizie bei ya 27,000 ndio chanzo. Mama Amina sana Tanesco hawa
Vipi usipotumia huo umeme?Kwanza hata hizo pesa ni wizi walitakiwa waingize umeme bure wao wakusanye malipo ya kila mwezi kwa wateja.
Acheni ujuwa nyie hakn kitu Kam hcho elf 27000 kuunganisha umeme siyo sawa hata kijij kule Ni nafuu tu ndio wamepewaHilo swali muulize Samia mwenyewe kigeugeu, enzi za mwendazake alisema 27000 ndio mpango mzima, leo kakamata ofisu yeye anasema 27000 ni usanii haitoshi
Tanesco inasonga mbele kwa Kasi sana 👇Tusipotoshe umma, kama ni mteja wa njia moja kwa mjini bei ya kuunganisha ni 320,960 na hapo ni umbali hadi mita 30.....sasa kama uko ndani ya mita tano unapaswa kulipa hiyo.
Na mitandao ya CM waanze kudai hela ya minara, shame on themLeo tarehe 23.02.2022 mkurugenzi wa TANESCO, MAHARAGE CHANDE ameongea na vyombo vya habari kwa kueleza umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27, 000/= tuache kupeana maneno matamu matamu katika kuendesha shirika hilo. Amesema ni vigumu sana kutofautisha mjini na vijijini kwani wote wanahitaji huduma hiyo kitu ambacho inasababisha shirika hilo kujiendesha kwa hasara kubwa!