Maharage Chande wa TANESCO ameingiaje utumishi wa umma akiwa na umri zaidi ya miaka 45?

mwendazake kuna vitu alivipangua kwa sasa vina rudi kwa speed ya kimbunga!
kuna mahali alikosea ange tuacha vizuri kweli 🤔
 
mwendazake kuna vitu alivipangua kwa sasa vina rudi kwa speed ya kimbunga!
kuna mahali alikosea ange tuacha vizuri kweli 🤔

JPM kuna wakati alikua anateua watu wa private sectors wengine wakawa wanasemwa kukataa teuzi kwa sababu zao binafsi.

Kama Maharage ameteuliwa tumwache afanye kazi na akizingua atenguliwe kwa kalamu iliyomteua. Ila tusiseme kwa kuwa hakuwa mtumishi wa umma hastahili kupata teuzi

Tutamkumbuka daima milele JPM Mwamba, Shujaa na rais wa karne kwa mengi makubwa na mazuri aliyofanya😍🇹🇿🕊🙏
 
mfumo wa utendaji huonekana alfajiri sio usiku wa manane Lisu uli mfahamu lini?
Magu naye uli mfahamu lini ?
nyongeza hakuna watenguaji apo kuna wazee wa fursa!
 
mfumo wa utendaji huonekana alfajiri sio usiku wa manane Lisu uli mfahamu lini?
Magu naye uli mfahamu lini ?
nyongeza hakuna watenguaji apo kuna wazee wa fursa!
😎😎😎
 
Mbona hamkushangaa mpwa kuwa Paymaster General wa nchi.
 
Kweli hakuwahi kuwa mtumishi wa umma ,ila aliwahi kuwa COO NBC bank na huku serikalini kumeoza kunahitaji watu wenye energy na vision kutoka private sector ,age sio tatizo kwa level ya cheo chake.
Age ni tatizo.ktk utumishi wa umma ukiishafika umri wa miaka 45 hupaswi kuajiriwa kwa ajira ya kudumu kama ni ya mkataba ni sawa.na kwa mkataba pia lazima uwe na soecial skills ambazo wengine hawana vinginevyo huwezi ajiriwa.
 
Wanaompiga vijembe Maharage Chande hawamjui uwezo wake. Jamaa ana uwezo mkubwa sana. Ni mmoja wa vijana wachache wa kitanzania wenye uwezo wa kuoversea operations kubwa kama ya TANESCO
 
Mawazo mazuri mama D. Najaribu kuwaza tu hivi yule Idris Rashid alipokwenda pale kuwa MD alikuwa hajatimiza miaka 45 au vipi? Na yeye vile vile alitokea huko kwenye mabenki ambako hawana masihara na utendaji.

Tuwape nafasi watendaji kutoka sekta binafsi ili watukimbize huku serikalini, labda tutaamka na utendaji wetu wa kazi.
 
Wanaompiga vijembe Maharage Chande hawamjui uwezo wake. Jamaa ana uwezo mkubwa sana. Ni mmoja wa vijana wachache wa kitanzania wenye uwezo wa kuoversea operations kubwa kama ya TANESCO

Badala ya kumuwazia mabaya tumuwazie mema na kumuombea mema
Tanzania ni yetu sote
 
😍🙏
 
Kweli hakuwahi kuwa mtumishi wa umma ,ila aliwahi kuwa COO NBC bank na huku serikalini kumeoza kunahitaji watu wenye energy na vision kutoka private sector ,age sio tatizo kwa level ya cheo chake.
Kwa hiyo kuna vyeo ambavyo mtumishi anaweza anaweza anza utumishi wa umma akiwa na miaka zaidi ya 45?
 
Mbona unaandika maneno mengi kwa sheria inasemaje umri wa kuajiriwa kama mtumishi?
 
Jp alimteua.mtangazaji kuwa mkurugenzi Mbulu

Serikali ya utawala wa kutumia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi uliishia kwa JK
 
Mbona unaandika maneno mengi kwa sheria inasemaje umri wa kuajiriwa kama mtumishi?

Kwani tumeanza kupangiana lini idadi ya maneno tunayotakiwa kuandika?

Haya uwe unanipa hayo machache niyaandikage😎 sawa eeeh?
 
T Tulishasema pre-frebruary ameamua kukimbia wakati wengine wanatembea!! Anatengeneza fursa nyingi za kupiga!! Anaamini shamba la bibi limerudi na hategemei kuna mtu atamkemea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…