MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta, ufanisi umeongezeka,uzalishaji,usambazaji pamoja na ukisasa umeongezeka , Moto huohuo naupeleka Posta, nashukuru Sana rais kwa kuniona nafaa"
Nenda kaanzie Maharage alipofikia najua utaweza, nakupa miezi sita nakuangalia pale TANESCO, kazi yako ya kwanza kusimamia ukaratabati wa hiyo mitambo lakini baada ya hiyo miezi sita nisisikie kelele tena za kukatika kwa umeme, kwahiyo tutasaidiana lakini nenda najua utaweza, sawa.?β
Huo ndiyo ukweli.Aliyekuwa MD Tanesco ndugu Maharage nimesikiliza redioni mida hii akimshukuru rais kumteua kuwa boss mpya Posta.
Amedai kuwa anaenda kufanya maajabu Posta Kama alivyobadilisha Tanesco katika kipindi kifupi alichokuwepo.
"Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta, ufanisi umeongezeka,uzalishaji,usambazaji pamoja na ukisasa umeongezeka , Moto huohuo naupeleka Posta, nashukuru Sana rais kwa kuniona nafaa" Alisema Chande.
Wakuu yapi maoni yenu.
Kwani aliikutaje?Huo ndiyo ukweli.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kipara na maharagwe, tafadhari sana, walindwe ndio salama yao
Anaumwa huyoAliyekuwa MD Tanesco ndugu Maharage nimesikiliza redioni mida hii akimshukuru rais kumteua kuwa boss mpya Posta.
Amedai kuwa anaenda kufanya maajabu Posta Kama alivyobadilisha Tanesco katika kipindi kifupi alichokuwepo.
"Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta, ufanisi umeongezeka,uzalishaji,usambazaji pamoja na ukisasa umeongezeka , Moto huohuo naupeleka Posta, nashukuru Sana rais kwa kuniona nafaa" Alisema Chande.
Wakuu yapi maoni yenu.
Huyo alitakiwa kuwa kekoAliyekuwa MD Tanesco ndugu Maharage nimesikiliza redioni mida hii akimshukuru rais kumteua kuwa boss mpya Posta.
Amedai kuwa anaenda kufanya maajabu Posta Kama alivyobadilisha Tanesco katika kipindi kifupi alichokuwepo.
"Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta, ufanisi umeongezeka,uzalishaji,usambazaji pamoja na ukisasa umeongezeka , Moto huohuo naupeleka Posta, nashukuru Sana rais kwa kuniona nafaa" Alisema Chande.
Wakuu yapi maoni yenu.
Mwizi ulinzi wake unakuwa ni kuwa behind the NONDOKipara na maharagwe, tafadhari sana, walindwe ndio salama yao