Maharage: Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta

Dah inasikitisha sana tena sana. Mimi hapa nimeshindwa kufanya kazi kwa sababu ya umeme halafu kuna mtu anajiona aliitendea haki kweli tanesco. Maharage kosa lake analijua. Watanzania wanataka umeme na ndiyo maana Dkt Samia kamuondoa maana ameharibu sana image ya rais wetu. Sisi chawa tupo na Mama na siyo wahujumu uchumi kama maharage na uzuri mama ni mama

IMG_4024.jpg

Chawa nae analalamika [emoji23]

IMG_5171.png
 
Aliyekuwa MD Tanesco ndugu Maharage nimesikiliza redioni mida hii akimshukuru rais kumteua kuwa boss mpya Posta.
Amedai kuwa anaenda kufanya maajabu Posta Kama alivyobadilisha Tanesco katika kipindi kifupi alichokuwepo.
"Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta, ufanisi umeongezeka,uzalishaji,usambazaji pamoja na ukisasa umeongezeka , Moto huohuo naupeleka Posta, nashukuru Sana rais kwa kuniona nafaa" Alisema Chande.
Wakuu yapi maoni yenu.
Tunamshukuru kwa kazi yake nzuri ya kutukatia umeme hovyo ktk nchi hii maana watu wa hovyo hujisema wenyewe na wanajua wataendelea kuteuliwa pamoja na kwamba majuha au mapunguani.Unasimama kwenye media unajisifia uzwazwa kweli maharage ni maharage tu.
 
Aliyekuwa MD Tanesco ndugu Maharage nimesikiliza redioni mida hii akimshukuru rais kumteua kuwa boss mpya Posta.
Amedai kuwa anaenda kufanya maajabu Posta Kama alivyobadilisha Tanesco katika kipindi kifupi alichokuwepo.
"Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta, ufanisi umeongezeka,uzalishaji,usambazaji pamoja na ukisasa umeongezeka , Moto huohuo naupeleka Posta, nashukuru Sana rais kwa kuniona nafaa" Alisema Chande.
Wakuu yapi maoni yenu.
Huko ndipo atafungashiwa kwenye vifurushi na kurundikwa kwenye vumbi mpaka kuja kuonekana mtunza vifurushi lazima aukuombe umnunulie maziwa fresh
 
Aliyekuwa MD Tanesco ndugu Maharage nimesikiliza redioni mida hii akimshukuru rais kumteua kuwa boss mpya Posta.
Amedai kuwa anaenda kufanya maajabu Posta Kama alivyobadilisha Tanesco katika kipindi kifupi alichokuwepo.
"Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta, ufanisi umeongezeka,uzalishaji,usambazaji pamoja na ukisasa umeongezeka , Moto huohuo naupeleka Posta, nashukuru Sana rais kwa kuniona nafaa" Alisema Chande.
Wakuu yapi maoni yenu.
Maoni yangu kwenye suala la umeme ni kwamba Kuna ujinga na upumbavu unaendelea baada ya Mwamba Jiwe Magufuli kututoka. PERIOD!!!!
 
Aliyekuwa MD Tanesco ndugu Maharage nimesikiliza redioni mida hii akimshukuru rais kumteua kuwa boss mpya Posta.
Amedai kuwa anaenda kufanya maajabu Posta Kama alivyobadilisha Tanesco katika kipindi kifupi alichokuwepo.
"Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta, ufanisi umeongezeka,uzalishaji,usambazaji pamoja na ukisasa umeongezeka , Moto huohuo naupeleka Posta, nashukuru Sana rais kwa kuniona nafaa" Alisema Chande.
Wakuu yapi maoni yenu.
Mikataba ya ajabu inahamia Posta.

Sasa naamini hesabu ya ile mikataba iliyosainiwa Dubai inaendana na hatua za Maharage na wale wahuni wengine
 
Aliyekuwa MD Tanesco ndugu Maharage nimesikiliza redioni mida hii akimshukuru rais kumteua kuwa boss mpya Posta.
Amedai kuwa anaenda kufanya maajabu Posta Kama alivyobadilisha Tanesco katika kipindi kifupi alichokuwepo.
"Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta, ufanisi umeongezeka,uzalishaji,usambazaji pamoja na ukisasa umeongezeka , Moto huohuo naupeleka Posta, nashukuru Sana rais kwa kuniona nafaa" Alisema Chande.
Wakuu yapi maoni yenu.
Subutuuuuuu
 
Back
Top Bottom