Mahari laki 2 ipo tayari, anaehitaji kuolewa ajitokeze

Mahari laki 2 ipo tayari, anaehitaji kuolewa ajitokeze

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
Hio hela iko fixed, nahitaji mwanamke mwenye akili timamu tuanze maisha kabla mwaka haujaisha.

Umri ule ule wa kiserikali, top iwe 30.

Mimi ni mkazi wa jiji la miamba, mvuvi wa samaki aina ya sato na sangala.

Elimu yangu ya kuokoteza, ila najitambua na akili timamu

Mahari ipo tayari narudia tena hata kesho asubuhi natoa na kubeba mke sisubiri harusi

Inbox iko wazi karibu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwamba aje na naul yake!
 
Dah nilikua tayari hata kwa mahari ya mbuzi 1 tu, wewe una laki 2 yote hiyo, njoo tuyajenge mkuu pesa hiyo unapata wake 2 mimi na rafiki yangu tupo hapa😂
Mbuzi mmoja hapa kwetu kijereshi anasonga mpaka laki na 80 elfu.

any way thats not the case, namba zako ninazo, will do the needfull and check you out.

so far so good, wait and see.
 
Back
Top Bottom