Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
- Thread starter
- #81
Asante sana mkuu kwa mchango.naongezea buku mbili kwenye mahari.
ila utaendelea kumheshimu shemeji yako, kuchangia mahari isiwe sababu ya too much mazoea😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuu kwa mchango.naongezea buku mbili kwenye mahari.
N kbwa mno[emoji23]Kwa hiyo mahari yangu ni ndogo sana au?
Nilipoteza simu hebu fanya kunichek😇
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo mahari yangu ni ndogo sana au?
Ndio mkuu bado nashangaa sana sijui nyota sina hapa jf?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado tu hujafanikiwa mkuu!!
mume mwema nipo hapa Rabeka.Ndoa sio mahari peke yake mkuu
mkuu nakusubiri hapa Kijereshi yanakopaki malori meengi.Hahaha mkuu unapatikana kijereshi sehemu gani au mahango nije nikuongezee 20,000
hahaha pamoja mkuu ngoja nmalize mishe mishe niibukemkuu nakusubiri hapa Kijereshi yanakopaki malori meengi.
njoo tule nyama choma na kaugali ka Musoma.
Sku zote huwa unanifurahisha dearDah nilikua tayari hata kwa mahari ya mbuzi 1 tu, wewe una laki 2 yote hiyo, njoo tuyajenge mkuu pesa hiyo unapata wake 2 mimi na rafiki yangu tupo hapa😂
Dah nilikua tayari hata kwa mahari ya mbuzi 1 tu, wewe una laki 2 yote hiyo, njoo tuyajenge mkuu pesa hiyo unapata wake 2 mimi na rafiki yangu tupo hapa[emoji23]