Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwamba aje na naul yake!Hio hela iko fixed, nahitaji mwanamke mwenye akili timamu tuanze maisha kabla mwaka haujaisha.
Umri ule ule wa kiserikali, top iwe 30.
Mimi ni mkazi wa jiji la miamba, mvuvi wa samaki aina ya sato na sangala.
Elimu yangu ya kuokoteza, ila najitambua na akili timamu
Mahari ipo tayari narudia tena hata kesho asubuhi natoa na kubeba mke sisubiri harusi
Inbox iko wazi karibu.
Mimi nitatoa laki mbili kwa huyo rafiki yakoDah nilikua tayari hata kwa mahari ya mbuzi 1 tu, wewe una laki 2 yote hiyo, njoo tuyajenge mkuu pesa hiyo unapata wake 2 mimi na rafiki yangu tupo hapaπ
Basi utapata wake 2 pia rafiki zanguπ hela ngumu mahari yote hiyo aaiiMimi nitatoa laki mbili kwa huyo rafiki yako
Vipofu wanajua muonekano wa.mtu kwa njia gani?Unaoa pasipokujua ata muonekano wa mtu
amazingInteresting
Mbuzi mmoja hapa kwetu kijereshi anasonga mpaka laki na 80 elfu.Dah nilikua tayari hata kwa mahari ya mbuzi 1 tu, wewe una laki 2 yote hiyo, njoo tuyajenge mkuu pesa hiyo unapata wake 2 mimi na rafiki yangu tupo hapaπ
ππππHilo dau na kwa life la saizi, hapo kutakua na foleni kubwa sana watahisi we ni freemasonry, utagombewa bora ungefanya 70k kupunguza jam
Kijereshi ni nchi gani hiyo mkuu mbuzi ghali hivo? Huku kwetu mbuzi mmoja elfu 40 tuπ€Mbuzi mmoja hapa kwetu kijereshi anasonga mpaka laki na 80 elfu.
any way thats not the case, namba zako ninazo, will do the needfull and check you out.
so far so good, wait and see.