Mahari ya Sanchi yapanda kutoka million 10 mpaka million 20

Mahari ya Sanchi yapanda kutoka million 10 mpaka million 20

Alimtoa kwa nani?? Alimkuta wapi ??? Alimkuta kwa MTU akaamua kumnyang'anya Ivan .


Hajamkuta anaruka ruka na wanaume ovyooooooo.


After all ,, Zar km nikombo nikombo linalofaaaaa !!.
Hapo maandishi yako Mwisho umekubaliii !
 
Uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu, mimi hapana aisee
Yeah kwa maneno ya wahenga uko sahihi, ila kwetu sisi waafrika, hayo maumbile ndiyo tafsiri ya kwanza ya uzuri (kwa wale tu wenye leseni ya kuendesha magari makubwa) ila nastaajabishwa kwamba kwake yeye pesa ndiyo determining factor, i thought ndoa is built from love and understanding, i don't know, things keep changing may be love does not matter now a days.
 
Nimemuoa Mama Miranda akiwa na chuchu saa sita bila matende, mahari ilikuwa 800,000 ambayo laki 2 sijazilipa mpaka leo. Mpaka sasa tuna watoto wawili lkn bado hajafanikiwa kuwa na kifua kikubwa hivyo kama kereng'ende. Ikiwa mnayemzungumzia ni huyo pichani...NO COMMENTS!
 
Spiece kama hizi nazifananisha na disposable paper plates.

Kelele nyingii mwanzoni, baada ya muda anapanga foleni makanisani na kwa waganga kutafuta mume.

Mwanamke weka mazingira ya kuolewa, weka mazingira magumu (utadhani ina TV ndani) uje ulie baadae kwamba huna bahati...
 
mbona kakomaa hivyo anapigaga chuma??

wale mliosoma mawenz sec miaka Ya 2000 mje mtuambie jane anapiga Chum??
 
Kutoa papa mpaka mil.20 jamani..!na linalika kwa staili gani hilo zigo remix jamani
 
Hiyo mahari ni wowowo tu au kuna kingine.Maana sidhani kama bei elekezi ya wowowo ishafika milion 20[emoji23]
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
MIMI HAYO MAMIGUU TAYARI YAMESHAANZA MAKUNYANZI HATA MTOTO MMOJA HANA.ATANIVUNJIA SINKI LA CHOONI BURE.ANA UZURI GANI ,KWANZA MBONA KAMA MZEE
 
Mrembo Jane Rimoy kwa jina maarufu anajulikana Kama Sanchi au Sanchoka anayefanya shughuli za umodel nchini Tanzania , ameweka wazi kwa mwanaume Mwenye nia ya kumuoa mahari yake kwa Sasa ajiandae kutoa million 20.

Mahari yake imepanda ghafla kutoka million 10 mpaka million 20 baada ya kushinda shindano la Ijumaa Figa Bomba Girl 2017 lililo andaliwa
na Global Publisher.

Hizi ni baadhi ya picha akiwa kwenye office ya Global Publisher akisubiri mahojiano baada ya kushinda.
View attachment 614892

View attachment 614889

View attachment 614890



Mahali anapanga muolewaji au Mzazi na Shangazi
 
Inategemea na mila
nitajie Mila za ktanzania ambazo mahali anapanga muolewaji kama siyo hizo Mila za wasanii na hawa wavaa Uchi kwenye Magazeti... Nitajie hata kabila ambalo Mwanamke aliyekulia kwenye maadili ya kujiheshimu anayejipangia Mahali....?
 
Back
Top Bottom