mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,441
- 431,885
Poa mkuu maana dah mil 20 unanua nini kweli mwana fa aliimba ina TV lakini naona hii ina iphone 8Naangalia kama sinema..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mkuu maana dah mil 20 unanua nini kweli mwana fa aliimba ina TV lakini naona hii ina iphone 8Naangalia kama sinema..
ndiyoKumbe mchaga du hatari
Haijulikani mahari anachukua nani? Yeye au wazazi?Poa mkuu maana dah mil 20 unanua nini kweli mwana fa aliimba ina TV lakini naona hii ina iphone 8
Hapo maandishi yako Mwisho umekubaliii !Alimtoa kwa nani?? Alimkuta wapi ??? Alimkuta kwa MTU akaamua kumnyang'anya Ivan .
Hajamkuta anaruka ruka na wanaume ovyooooooo.
After all ,, Zar km nikombo nikombo linalofaaaaa !!.
Yeah kwa maneno ya wahenga uko sahihi, ila kwetu sisi waafrika, hayo maumbile ndiyo tafsiri ya kwanza ya uzuri (kwa wale tu wenye leseni ya kuendesha magari makubwa) ila nastaajabishwa kwamba kwake yeye pesa ndiyo determining factor, i thought ndoa is built from love and understanding, i don't know, things keep changing may be love does not matter now a days.Uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu, mimi hapana aisee
We team flatscreen [emoji23][emoji23][emoji23]Kila mwanaadamu na chaguo lake lakini huyu hata milioni 1 mimi sitoi achilia hio million 20.[emoji111]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwanin uugueHAPANA.. Daah kwa miguu iyo ata Laki nikitoa naugua
Mahali anapanga muolewaji au Mzazi na ShangaziMrembo Jane Rimoy kwa jina maarufu anajulikana Kama Sanchi au Sanchoka anayefanya shughuli za umodel nchini Tanzania , ameweka wazi kwa mwanaume Mwenye nia ya kumuoa mahari yake kwa Sasa ajiandae kutoa million 20.
Mahari yake imepanda ghafla kutoka million 10 mpaka million 20 baada ya kushinda shindano la Ijumaa Figa Bomba Girl 2017 lililo andaliwa
na Global Publisher.
Hizi ni baadhi ya picha akiwa kwenye office ya Global Publisher akisubiri mahojiano baada ya kushinda.
View attachment 614892
View attachment 614889
View attachment 614890
nitajie Mila za ktanzania ambazo mahali anapanga muolewaji kama siyo hizo Mila za wasanii na hawa wavaa Uchi kwenye Magazeti... Nitajie hata kabila ambalo Mwanamke aliyekulia kwenye maadili ya kujiheshimu anayejipangia Mahali....?Inategemea na mila