Hivi, Dkt. Magufuli wa CCM, tangu kuanza kwa kampeni zake, hakuwahi kuvunja Maadili ya Uchaguzi au yale ya vyama vya siasa? Mnatazamwa, mnafikiriwa. Watanzania si wajinga, nao wanaweza kutafakari na kung'amua. Kwa maneno na matendo yenu: Dr. Mahera na NyahozaWadogo zangu Dr.Mahera na Nyahoza mmeniangusha sana. Nia ya kukisaidia chama chetu cha CCM mnayo. Uwezo mnao. Nguvu mnazo...
ila upepo wake sasa ni wa kisulisuli unavuma kwa kasi ya ajabu sana hadi ccm na tumeccm wamepoteanaLissu ni debe tupu
Hayo ni maagizo kutoka juu kwa mgombea jiweWadogo zangu Dr.Mahera na Nyahoza mmeniangusha sana. Nia ya kukisaidia chama chetu cha CCM mnayo. Uwezo mnao. Nguvu mnazo. Kwanini hamna maarifa?...
Debe tupu humkimbiza tembo na ukubwa wake!Lissu ni debe tupu
Dalili za mnara wa Babeli kuanguka, Walianza kunena kwa lugha kwa kuanzisha chama ndani ya chama. CCM mpya ambayo wengi wao ni watu wa nyumbani.Awamu zilizopita, viongozi wa Tume walikuwa watu wa CCM lakini wenye akili. Hivyo walifanya uovu wao kwa weledi wa kiwango fulani...
Mi sijui historia yake ya Utumishi Serikalini au ndani ya chama na uzoefu alionao kulingana na unyeti wa majukumu aliyopewa ukizingatia alikuwa mkurugenzi wa halmashauri. Nahisi majukumu aliyopewa yapo juu ya uwezo na uzoefu wake wa utendaji.MAHERA ajipime ajiudhuru.Ni kiongozi asitefaa kuwapo pale tume ya uchaguzi.Yeye kama anaipenda CCM basi atumie kura yake binafsi kuipigia CCM na sio kuharibu uchaguzi
Ha ha haaa eti ..kifokoBaada ya stress kupelekea chumvi kupanda kwenye damu, walifokewa sana huko ndani. Mara tu tulimuona Humphrey anaitisha press conference na Mahera kukimbilia mitandaoni. Hii yote ni kuogopa kifoko kisiendelee.
Ukabila na Ukanda ndio uliombebaMi sijui historia yake ya Utumishi Serikalini au ndani ya chama na uzoefu alionao kulingana na unyeti wa majukumu aliyopewa ukizingatia alikuwa mkurugenzi wa halmashauri. Nahisi majukumu aliyopewa yapo juu ya uwezo na uzoefu wake wa utendaji.
Wakati mwingine teuzi zisiwapime watu kwa vigezo vya ngazi za elimu walizofikia. Elimu yetu tunaijua. Elimu , ufanisi na uzoefu wa majukumu yao ya awali ufanyiwe tathmini ya kina kabla ya uteuzi.
sasa mbona mnamuogopa sana kama usemayo ni kweli...si angeachwa tu maana si lolote?!.Lissu ni debe tupu
Lisu ni debe tupu yule nani amuogope?sasa mbona mnamuogopa sana kama usemayo ni kweli...si angeachwa tu maana si lolote?!.
hadi tume ya uchaguzi imebidi ije kuwasaidia halafu unasema TL ni debe tupu!!!.