Uchaguzi 2020 Mahera (NEC) na Nyahoza (Naibu Msajili wa Vyama), kwanini hamkujipanga kabla ya kuonesha sinema yenu?

Uchaguzi 2020 Mahera (NEC) na Nyahoza (Naibu Msajili wa Vyama), kwanini hamkujipanga kabla ya kuonesha sinema yenu?

Wadogo zangu Dr.Mahera na Nyahoza mmeniangusha sana. Nia ya kukisaidia chama chetu cha CCM mnayo. Uwezo mnao. Nguvu mnazo...
Hivi, Dkt. Magufuli wa CCM, tangu kuanza kwa kampeni zake, hakuwahi kuvunja Maadili ya Uchaguzi au yale ya vyama vya siasa? Mnatazamwa, mnafikiriwa. Watanzania si wajinga, nao wanaweza kutafakari na kung'amua. Kwa maneno na matendo yenu: Dr. Mahera na Nyahoza
 
Awamu zilizopita, viongozi wa Tume walikuwa watu wa CCM lakini wenye akili. Hivyo walifanya uovu wao kwa weledi wa kiwango fulani.

Awamu hii Tume inaongozwa na makada wajinga wa CCM. Makada wenyr akili ndogo ambao hawana uwezo hata wa kupanga uovu. Hawa kila uovu watakaoupanga utang'amliwa na kubackfire kabla ya kutekelezwa.

Jambazi mjinga hulamatwa hata kabla ya kutekeleza ujambazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya stress kupelekea chumvi kupanda kwenye damu, walifokewa sana huko ndani. Mara tu tulimuona Humphrey anaitisha press conference na Mahera kukimbilia mitandaoni. Hii yote ni kuogopa kifoko kisiendelee.
 
MAHERA ajipime ajiudhuru.Ni kiongozi asitefaa kuwapo pale tume ya uchaguzi.Yeye kama anaipenda CCM basi atumie kura yake binafsi kuipigia CCM na sio kuharibu uchaguzi
Mi sijui historia yake ya Utumishi Serikalini au ndani ya chama na uzoefu alionao kulingana na unyeti wa majukumu aliyopewa ukizingatia alikuwa mkurugenzi wa halmashauri. Nahisi majukumu aliyopewa yapo juu ya uwezo na uzoefu wake wa utendaji.

Wakati mwingine teuzi zisiwapime watu kwa vigezo vya ngazi za elimu walizofikia. Elimu yetu tunaijua. Elimu , ufanisi na uzoefu wa majukumu yao ya awali ufanyiwe tathmini ya kina kabla ya uteuzi.
 
Hawa tume Ya Uchaguzi na msajiri wameamua kutuanza Mapema kutuzoesha mabomu, hiii nikutokana na tume Ya Uchaguzi na msajiri kuingia uwanjani Kama refa na kuanza kukaba na kupokea pasi za wapinzani wa chadema na kugawa mpira kwa Ccm, tumeimeamua kutuonesha mapema kuwa wao wako upande wa Kijana, hivyo kufanya upande mmoja kuwa na wachezaji 13 uwanjani huku upande mwingne ukiwa na wachezaji 11 uwanjani, tume inatoa kad Ya njano Kwa wachezaji 11 kutokana na rafu inayofanywa na wachezaji wenzake, badala Ya kutoa Kwa waliocheza rafu wao wanatoa Kwa waliochezewa rafu.

Kinachotokea ni mipango Ya MUNGU ili wananchi waizoee tume na wafaham kuwa tume tarehe 28 itatoa ushindi wapi na wananchi wajiandae mapema na kuweka mikakati ya kupinga na kukataa hiii ni nzur kuliko tume ingeficha mikucha yake Halafu inakuja kuikunjua gafla Siku ya Uchaguzi Halafu watu wakashindwa hata kujipanga

Wakuuu tutumie hiii Kama fursa
 
Baada ya stress kupelekea chumvi kupanda kwenye damu, walifokewa sana huko ndani. Mara tu tulimuona Humphrey anaitisha press conference na Mahera kukimbilia mitandaoni. Hii yote ni kuogopa kifoko kisiendelee.
Ha ha haaa eti ..kifoko
 
Mi sijui historia yake ya Utumishi Serikalini au ndani ya chama na uzoefu alionao kulingana na unyeti wa majukumu aliyopewa ukizingatia alikuwa mkurugenzi wa halmashauri. Nahisi majukumu aliyopewa yapo juu ya uwezo na uzoefu wake wa utendaji.

Wakati mwingine teuzi zisiwapime watu kwa vigezo vya ngazi za elimu walizofikia. Elimu yetu tunaijua. Elimu , ufanisi na uzoefu wa majukumu yao ya awali ufanyiwe tathmini ya kina kabla ya uteuzi.
Ukabila na Ukanda ndio uliombeba
 
sasa mbona mnamuogopa sana kama usemayo ni kweli...si angeachwa tu maana si lolote?!.

hadi tume ya uchaguzi imebidi ije kuwasaidia halafu unasema TL ni debe tupu!!!.
Lisu ni debe tupu yule nani amuogope?

Subiri oktoba 28 utapata majibu
 
Back
Top Bottom