Uchaguzi 2020 Mahera (NEC) na Nyahoza (Naibu Msajili wa Vyama), kwanini hamkujipanga kabla ya kuonesha sinema yenu?

Wadogo zangu Dr.Mahera na Nyahoza mmeniangusha sana. Nia ya kukisaidia chama chetu cha CCM mnayo. Uwezo mnao. Nguvu mnazo. Kwanini hamna maarifa?...
Ni aibu sana kuwa na mifumo ya KIHUNI namna hii, wanadhani Watanzania wote ni CCM?
 
Hii nchi ni ya ajabu sana. Mgombea ndiye aliyeteua wasimamizi na waamuzi na wanaotangaza matokeo ya uchaguzi
Hata mbuzi ambaye hana akili hawezi amini huu mfumo. ni yule tu amepungukiwa na akili na mnafiki ndiye anaamini huu mfumo.
ndo maana wengi hawapigi kura
 
Lissu kawachanganya mpaka wanajiuliza mbona mambo hayaendi??
 
Kweli
 
Tatizo kubwa tulilonalo kwa sasa Nchi yetu ni MAGUFULI...naye anabebwa na KATIBA fake chini ya dubwana liitwalo CCM...

Mwaka huu, kama mbwai na iwe mbwai!
Wakimwaga mboga tunamwaga ugali. Hakuna ujinga mwaka huu
 
Mimi nashauri Lisu aachwe aropoke atakavyo maana ni sehemu ya tiba kwa yaliyomkuta. Wote tunajua hata shinda. Hivyo aachwe tutamfundisha sisi wananchi kwenye box la kura. Aachwe aendelee kuropoka kwa ajili ya kujitibu kwa yaliyomsibu.
Utamfundisha ww. Ww ni nani nchi hii uwasemee wananchi wa tanzania? Kila mtu kura yake ni siri yake mwenyewe. Usi act kama unajua kura za kila mtu
Tena hii ndio inakera maana hata wasomj pale bungen tunawaona km wajinga sasa tena huyo huyo ndio anateua na mawazir , majaji ,CAG ,Ma DC, Ma RC, Ma DED

Ngoja niishie hapo nisije nikatukana maana nina hasira
 
GREAT POST, UBARIKIWE SANA.
 
MAHERA ajipime ajiudhuru.Ni kiongozi asitefaa kuwapo pale tume ya uchaguzi.Yeye kama anaipenda CCM basi atumie kura yake binafsi kuipigia CCM na sio kuharibu uchaguzi

Ukimuondoa tu Rais Mstaafu Mzee Mwinyi 'aliyejiuzuru' Mwenyewe 'in 80's' tuna 'Kiongozi' mwingine aliyeuiga huo 'Utamaduni' wake mzuri labda?
 
Mimi nashauri Lisu aachwe aropoke atakavyo maana ni sehemu ya tiba kwa yaliyomkuta.

Wote tunajua hata shinda. Hivyo aachwe tutamfundisha sisi wananchi kwenye box la kura.

Aachwe aendelee kuropoka kwa ajili ya kujitibu kwa yaliyomsibu.

Unashauri aachwe wewe nani,

Acha kujimwambafai kijana,

Jikite kwenye hoja siyo hizi porojo zako.
 
Mimi nashauri Lisu aachwe aropoke atakavyo maana ni sehemu ya tiba kwa yaliyomkuta.

Wote tunajua hata shinda. Hivyo aachwe tutamfundisha sisi wananchi kwenye box la kura.

Aachwe aendelee kuropoka kwa ajili ya kujitibu kwa yaliyomsibu.
Na hii inadhihirisha jinsi anavyowanyoosha watesi wake.na mwaka huu lazima awaache uchi.we sio wa na nchi bali mwananchi.kura ni moja tu ya kwako amigo.hata mkeo hujui atampigia nani.ila kiukweli TL ni sawa ya MAPUNYE
 
Mgombea wetu magufuli hakubaliki, lazima tumbebe kwa kila namna
 
Mimi nashauri Lisu aachwe aropoke atakavyo maana ni sehemu ya tiba kwa yaliyomkuta.

Wote tunajua hata shinda. Hivyo aachwe tutamfundisha sisi wananchi kwenye box la kura.

Aachwe aendelee kuropoka kwa ajili ya kujitibu kwa yaliyomsibu.
Upo sahihi ila usibeze Sana maana ukiuliza mtaani mtu mmoja mmoja unakuja ana kinyongo na serikal yake.

Wengine walimu kabisa nawafahamu wanasema Wana Jambo lao tar 28, wakulima, wafanyakazi serkaln na watu mtaani.

Kikubwa tuombe makusud ya Mungu yapite.
 
Hakuna mtu anaekubalika na kila mtu
 
Mkuu, nakubaliana na wewe. Hawa viongozi wanajiendesha vibaya, watanzania tunaona, wajiratibu kwakufuata mipaka yao, wapunguze mihemuko
Aibu kubwa kwa Dr. Mahera. Kwa namna ambavyo alikuwa anaongea jana huwezi kumtofautisha na jinsi anavyoongea Polepole!
 
Wanasahau kuwa kila mageuzi au mapinduzi huanzia mijini na siyo vijijini kama wanavyoamini kuwa wanamtaji wa watu wa vijijini.
Lissu amesema hana haja ya kulipiza kisasi lakini kwahaya wanayofanya kina polepole na tume yao yanazalisha visasi na uadui mkubwa

Washindwa watfutwe popote walipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…