Uchaguzi 2020 Mahera (NEC) na Nyahoza (Naibu Msajili wa Vyama), kwanini hamkujipanga kabla ya kuonesha sinema yenu?

Uchaguzi 2020 Mahera (NEC) na Nyahoza (Naibu Msajili wa Vyama), kwanini hamkujipanga kabla ya kuonesha sinema yenu?

Mimi nashauri Lisu aachwe aropoke atakavyo maana ni sehemu ya tiba kwa yaliyomkuta.

Wote tunajua hata shinda. Hivyo aachwe tutamfundisha sisi wananchi kwenye box la kura.

Aachwe aendelee kuropoka kwa ajili ya kujitibu kwa yaliyomsibu.
Siyo yaliyomkuta sema muliyo mfanyia kumpiga risasi ili afee musipate kuambiwa ukweli

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Utakua ni uzembe kwa wapenda denokrasia kuacha uovu Kama huu utekelezeke . TAL hapaswi kuitikia wito huo na aendelee na kampeni zake.

Hafu tuone huyu mkurugenzi atamfanya nini
 
Mimi nashauri Lisu aachwe aropoke atakavyo maana ni sehemu ya tiba kwa yaliyomkuta.

Wote tunajua hata shinda. Hivyo aachwe tutamfundisha sisi wananchi kwenye box la kura.

Aachwe aendelee kuropoka kwa ajili ya kujitibu kwa yaliyomsibu.
Nyie wana nchi au wala nchi ?? Sisi Wananchi kura zetu kwa mtoto TUNDU.
 
MAHERA ajipime ajiudhuru.Ni kiongozi asitefaa kuwapo pale tume ya uchaguzi.Yeye kama anaipenda CCM basi atumie kura yake binafsi kuipigia CCM na sio kuharibu uchaguzi
Utamaduni wa kujiuzulu wafanyao madudu ulishaisha miaka mingi...
 
Hili ndilo pigo la kumi kwa Magufuli maana Mungu anamwonyesha kuwayeye ndieayatengenexYe yote Lissu isour next president ndio maana mtu kama charles mahera bila kujitambua anawafuta wagombea waubunge 62 wachadema harafu wLiopitwa bila kupingwa wanapewa ndege. Kizurura kufanya kampeni hivi ni upofu wa aina gani wengine wameachwa maofisini waendelee kuiba. Unaondoa madiwani 1200 wa chama kimoja unaakikweli harafu bila aibu una declare vita na wananchi unatangaza vita kwakutumia chombocha nje unaakili kweli wewr
 
Nimesoma maelezo yako kamanda yaani mpaka yameniuma sana kwa Jinsi ndg LISSU anavyotaka kufanyia na hawa mawakala wa chichiem na ndyo maana kamanda lissu anasema ole wao waliojipanga kuiba kura maana kama inaonyesha upendeleo wa wazi kiasi hiki kwa nn wananchi wasipoteze imani na hao mawakala?
 
Wadogo zangu Dr.Mahera na Nyahoza mmeniangusha sana. Nia ya kukisaidia chama chetu cha CCM mnayo. Uwezo mnao. Nguvu mnazo. Kwanini hamna maarifa? Dr. Mahera umejitokeza mbele ya watanzania na kuhabarisha kuwa mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu amekiuka Kanuni za Maadili ya Uchaguzi. Ukasema kuwa una nguvu na mamlaka ya kushughulika na hilo. Ukatamba kuwa tayari 'umeshamlima' Lissu barua ajitokeze mbele ya Kamati ya Taifa ya Maadili ya Uchaguzi.

Dr. Mahera ukada wa CCM na 'ushushushu' ukakuumbua. Ukakusukuma kusema visivyotakiwa kusemwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC inayosimamia uchaguzi husika. Ukamwaga sera za CCM na kuzikosoa waziwazi sera za Lissu. Ukakosoa na kuonesha Lissu anakosea bila ushahidi wowote wa maana zaidi ya kufokafoka. Ukashindwa kujizuia kabisa. Ukashindwa kuficha hisia zako dhidi ya Lissu huku ukimuunga mkono Dkt. Magufuli. Umeshindwa kabla ya kuanza!

Ndugu Nyahoza nawe umeningusha. Baada ya mkurugenzi wa Uchaguzi kutangaza kumwandikia barua Lissu, nawe jana ukapeleka barua kwa bodaboda CHADEMA. Ni barua ile ile ya Mkurugenzi au nawe umepandishia barua juu ya barua ili kumtinga Lissu na barua? Nawaambia ukweli, Dr. Mahera na Nyahoza hamkujipanga na kupangika. Muda huu wa kampeni, mbinu zinapaswa kuwa zilizopangika kimyakimya. Si hila za wazi kama zenu.

Hivi, Dkt. Magufuli wa CCM, tangu kuanza kwa kampeni zake, hakuwahi kuvunja Maadili ya Uchaguzi au yale ya vyama vya siasa? Mnatazamwa, mnafikiriwa. Watanzania si wajinga, nao wanaweza kutafakari na kung'amua. Kwa maneno na matendo yenu: Dr. Mahera na Nyahoza, jambo lolote dhidi ya Lissu ni batili kwakuwa mmeshaamua kabla ya kuitisha hivyo vikao vyenu.

Acheni demokrasia ichukue mkondo wake!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Mbeya, Tanzania).
 
Mahera na wenzake kwa kutaka sifa wanakimbilia kwenye TV,wangefanya kimyakimya aibu yote hii isingewakumba
 
kuongea tu watanzania hatujambo ila utekelezaji ziro kama bwai na iwe bwai je we utaingia road kupinga matokeo kama yatakua batili? sio uwajaze wenzako alafu mwisho wa siku ukawa wa kwanza kujifungia ndani Tanzania sio amani ni uoga tu alisema roma mkatoliki
 
Amekwenda mbali huko arusha na kuwataja lina Roberts armstadam. Yani kama mashshu wenyewe ni hawa kina mahera nchi haipo salama hii.
Ati refa wa mchezo anaifundisha timu fulani namna ya kucheza????
Huyu hajajipanga kweli
 
Mimi nashauri Lisu aachwe aropoke atakavyo maana ni sehemu ya tiba kwa yaliyomkuta.

Wote tunajua hata shinda. Hivyo aachwe tutamfundisha sisi wananchi kwenye box la kura.

Aachwe aendelee kuropoka kwa ajili ya kujitibu kwa yaliyomsibu.
Kamshauri hivi mwenyekiti wako uone atakavyokushusha chini kwa Kofi Nene!

Yaani Lissu anavyomjambisha bado unamshauri abweteke tu asifanye hila? Wewe ni nani hata umshinde mgombea wako ambaye kutwa kucha anamfuatilia Lissu mitandaoni na kulialia kuwa nyomi zake ni edit za 1875? Unafikiri hakuteseka?

Mshauri sasa kwamba Lissu hana shida kwake, halafu mrejesho wala usiulete, ubaki nao.
 
Lisu aachwe aendelee kuropoka kwa ajili ya tiba kwake
 
Mimi nashauri Lisu aachwe aropoke atakavyo maana ni sehemu ya tiba kwa yaliyomkuta.

Wote tunajua hata shinda. Hivyo aachwe tutamfundisha sisi wananchi kwenye box la kura.

Aachwe aendelee kuropoka kwa ajili ya kujitibu kwa yaliyomsibu.
Kashuhudie Kule njoo wale waliosema hawajaribiwi sasa wanajaribiwa mpaka wanawapigia magoti watoto wa shule ya msingi
 
Huyu anayefokewa kama mtoto mdogo ndiye Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi kwa sifa gani...kweli hujafa hujaumbika!
 
kuongea tu watanzania hatujambo ila utekelezaji ziro kama bwai na iwe bwai je we utaingia road kupinga matokeo kama yatakua batili? sio uwajaze wenzako alafu mwisho wa siku ukawa wa kwanza kujifungia ndani Tanzania sio amani ni uoga tu alisema roma mkatoliki
People like Polepole who spent most of their time explaining what they have done mean they have done nothing. Development is something which can be seen is not invisible. They are something wrong with this regime i pray day and night for the change cos is only thing we need now
 
mkiamua kuwa wapambanaji muwe wapambanaji kweli ila mkiishia kuandika humu jf mtabaki hvo hvo wenzenu wanachanja mbuga
 
Back
Top Bottom