Mahesabu msiyopenda kusikia kuhusu Makamu mpya wa Rais

Soma ibara ya 46
 
Wabongo hakika muwatamu sana ,mim nyuma ya keyboard nacheka na comments zenu
 
Wakati huo usalama/ TISS Wamelewa na kulala?
 
Saizi watu bado wanamkumbuka Jpm lakini ngoja mwezi uiishe wote wanapoteana, kila mtu anangalia ulaji wake kwa Mama..!
Mtu ukishazikwa unasahaulika..!
 
Huna mamlaka ya kuninyamazisha. Kama unafahamu ibara ya katiba inayosema tofauti na nilivyosema iweke hapa tuelimishane.
Reaction sahihi kwa mtu asiyejua jambo siyo kumnyamazisha, ni kumjuza asichokijua.
Vijana mlioachwa na Magu mwendazake mbona mnakuwa wakali hivyo? Hamtaniwi jameni? (in Uhuru's voice)
 
mambo yanaanzaga hv hv mdg mdg kiutani utani
 
Wananchi tutamwambia Rais AVUNJE BUNGE
 
Hatujafikia kiwango hicho Ila itafikiwa endapo Rais ataanza kupangua Safu iliyopo kiholela holela
Anaweza kuipangua Kiholela Bunge likichukia kabla ya kumpiga Kura Rais ya kutokuwa na Imani nae ANAVUNJA BUNGE
 
Kwanza avunje Baraza lote la mawaziri, aanze upya hata Kama baadhi yao watarudi
 
Mambo hayaendi hivyo mkuu. Ile ni taasisi
 
Haya yote yanafanyika huku mabaka baka wakiwa wapo tu wanaangalia mnavyocheza na amiri jeshi wao. Labda kama na wao hawamtaki.
[emoji16][emoji16][emoji16]

Muulize anajua walichofanya hao mabaka baka mpaka mama akapewa nchi !? Au anadhani mambo yanakwenda bila plan

Majuzi alisikia speech ya Mabeyo alipokuw a anasema kwamba watafanya kazi na kumsupport raisi !? Anashindwa kutambua kuwa kauli hiyo ilikuwa ni mkwara kwa wanao taka kutibua Hali ya usalama wa nchi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…