Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,416
Uwezo wa kuwahi anao kwasababu wapo wanaompenda kwenye system na watampenyezea tu taarifa mapema. Anamvua uanachama spika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ngoma inaishia hapo.Mpaka awahi! Na katiba inasema akivunja bunge uchaguzi unarudiwa. Kama alivyosema "Bwege" (mbunge mmoja wa awamu iliyopita), "ngoma inaanza upyaaaaa". Wasiyemtaka wanamshughulikia huko huko!