Mahinyila mfuasi wa Lissu ashinda nafasi ya M/kiti Bavicha Taifa

Mahinyila mfuasi wa Lissu ashinda nafasi ya M/kiti Bavicha Taifa

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Mahinyila, ambaye ni muumini na mfuasi wa Sera za Lissu, ameshinda na kutangazwa ndiye Mwenyekiti wa Bavicha Taifa.

Wakati wa kutangazwa Kwake, mamia ya Wana Bavicha wameinuka na kuimba kwa kutaja jina la Lissu kwa shauku kubwa!
 
Mahinyila ambaye ni muumini na mfuasi wa Sera za Lissu, ameshinda na kutangazwa ndiye Mwenyekiti wa Bavicha Taifa.

Wakati wa kutangazwa Kwake, mamia ya Wana Bavicha wameinuka na kuimba kwa kutaja jina la Lissu kwa shauku kubwa!
Kwa nilivyoona vijana wanaimba Lissu Lissu Lissu ni indicator kwa upepo ulivyo. Mbowe akifanya figisu basi ajue amekipasua chama. 70% ya chadema ni vijana, kwahiyo Team Mbowe kuangushwa inaonyesha muelekeo wa chama.

Mbowe asome alama za nyakati asitake kuondolewa kama Mugabe
 
Katika kipindi Chadema umaarufu wao umeongezeka ni kipindi hiki, naona kuna mchezo kama unachezwa hivi, tunawezafikiri Mbowe na Lissu wanachukiana kumbe wana kazi jambo, huwa nawaza hivi Mbowe angesema sigombei, Lissu angechuana na nani? nadhani hata uchaguzi usinge trend hivi, yaani mpaka habari zingine za kisiasa hazisikiki kwa sababu ya CHADEMA
 
Back
Top Bottom