Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Kazii imeanzia hukooooMahinyila ambaye ni muumini na mfuasi wa Sera za Lissu, ameshinda na kutangazwa ndiye boss wa Bavicha Taifa.
Wakati wa kutangazwa kwake, mamia ya Wana Bavicha wameinuka na kuimba kwa kutaja jina la Lissu kwa shauku kubwa!
Hakuna tatizo labda uje nalo wewe.Kuna tatizo?.
Mwamba siku hizi halali, ni mwendo wa Konyagi anachanganya na Red BullKuna tatizo?.
nadhani atapata heshima kubwa kukubali kushindwa, legacy yake italindwa na kutukuzwaMbowe ataondoka kwa aibu sana
Asifanye mapinduzu tunadhani atapata heshima kubwa kukubali kushindwa, legacy yake italindwa na kutukuzwa
alale tu kwa amani, chama kinakua na kuwa na sura rasmi ya kitaifa. Lema mwenyewe anataka mabadiliko ya uongozi kina lissu na heche washike uongoziMwamba siku hizi halali, ni mwendo wa Konyagi anachanganya na Red Bull
Kwa nilivyoona vijana wanaimba Lissu Lissu Lissu ni indicator kwa upepo ulivyo. Mbowe akifanya figisu basi ajue amekipasua chama. 70% ya chadema ni vijana, kwahiyo Team Mbowe kuangushwa inaonyesha muelekeo wa chama.Mahinyila ambaye ni muumini na mfuasi wa Sera za Lissu, ameshinda na kutangazwa ndiye Mwenyekiti wa Bavicha Taifa.
Wakati wa kutangazwa Kwake, mamia ya Wana Bavicha wameinuka na kuimba kwa kutaja jina la Lissu kwa shauku kubwa!
Huyo ni Yohana mbatizaji ametangulia kutengeneza njiaMahinyila, ambaye ni muumini na mfuasi wa Sera za Lissu, ameshinda na kutangazwa ndiye Mwenyekiti wa Bavicha Taifa.
Kwa FAM ni tatizo kubwa sanaKuna tatizo?.
Nje ya mada, mkubwa Pdidy hivi namesake wako asheachiwa au bado?Kazii imeanzia hukoooo