Mahinyila mfuasi wa Lissu ashinda nafasi ya M/kiti Bavicha Taifa

Anaonekana ana sera nzuri. Ataongeza ubunifu kuwafikia vijana wengi na kuwapambania vijana wenzake wakidakwa na dola kwa makosa ya uonevu ukimsikiliza katika speech yake kuomba kura.
Sasa Anatakiwa Apewe Wakuendana naye sio wampe Mr Fursa.
 
Mwamba kachoka sana, Aachie Kiti Kulinda heshima yake haitakuwa busara sana akitolewa kwa Ballot Box
 
🤔 🤔🤔
 
Hawa vibaka ndiyo wanampoteza
 

Attachments

  • GgorHp4XUAAE0_u.jpeg
    51.3 KB · Views: 1
Unataka kutuambia kwamba CDM inakwenda kuongozwa na ropo.
Ropo baada ya kugombea uenyekiti?

Si huyu mlitaka awe rais wa nchi?

Hivi machawa wa Mbowe alinyonya ubongo wenu wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…