Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA), Deogratius Mahinyila, amesema usaliti unaangamiza taifa zaidi, akisema baadhi ya Watanzania waliowahi kuaminiwa katika nafasi za umma wamewasaliti wananchi.
Mahinyila amesema CHADEMA ni chama imara chenye misingi yake, hivyo uwepo wa wasaliti hauwezi kukidhoofisha, huku akisisitiza umuhimu wa umoja ndani ya chama.
Mahinyila amesema CHADEMA ni chama imara chenye misingi yake, hivyo uwepo wa wasaliti hauwezi kukidhoofisha, huku akisisitiza umuhimu wa umoja ndani ya chama.