Dogo amenyooka sana na ana utulivu wakati anazungumza.
Vijana wa aina hii Sisiemu walikuwa nao miaka ya nyuma sana kabla ya zama hizi wamejazana wapiga mapambio.
CDM wakiongea most of the time huwa wana make sense, Sisiemu wakiongea huwa Uongo ni mwingi, yaani mtu anadanganya hata yale mambo ambayo ukweli wake upo wazi kabisa.
Tanzania bila rushwa, haiwezekani.