Mahitaji kusajili kampuni Brela- For Tanzanians

Mahitaji kusajili kampuni Brela- For Tanzanians

Joined
Dec 7, 2012
Posts
23
Reaction score
21
Mahitaji kwa ajili ya kampuni

1. Namba za Nida (kila mtu yake)
2. TIN numbers (Kila mtu yake,TIN yoyote aliyonayo kwa jina lake)
3. Phone, email, (kila mtu yake)
4. P. O. Box zenu.
5. Mahali mnapokaa kila mtu
6. Memorandum & Articles of Associtaion iliyopigwa mhuri wa mwanasheria
7. Pesa ya usajili ( gharama za usajili check brela.go.tz )

Utajaza form online na nyingine mbili. na kusubmit hiyo memart
__
NB: kazi ya tin ni kama kazi ya Namba ya nida. kwa ajili ya usajili sio biashara. ya biashara utatumia tin ya kampuni baada ya kusajili kampuni.

so kama huna tin APPLY NON-BUSINESS TIN Via ots.tra.go.tz
__
NB: Idadi minimum ni wawili (wewe na mwenzako. NDIVYO SHERIA INATAKA).

So kama wewe ndiye mmiliki mkuu basi Tafuta mtu mpatie chini ya 1%ili wewe umiliki zaidi ya 99% (mke/mume/ndugu/rafiki/mtoto wako/ etc).

JE UNAHITA MSAADA KUANDAA DOCS NA KUFANYA APPLICATION? , au huna muda ? TUNASAIDIA(Consulting) KWA HARAKA NA UFANISI👇🏾👇🏾 KAZI(SCOPE) YA UPANDE WETU NI;

1. Kuandaa Memorandum and articles of association
2. mwanasheria
3. kujaza forms zote zinazotakiwa
4. na kufanya application online
-----------
Call 0754210627
info@nzundatech.co.tz
 
Ahsante kwa thread yako, nina maswali machache yanayonitatiza. Kwa mfano nimefungua Kampuni tayari na nikafeli kuanza kwa shughuli za kibiashara kwa miaka miwili toka ni sajili.
Utaratibu wa kikodi ukoje?.
 
Hapa kuwa makini sana. Panawatatiza wengi. Utaratibu ni kuwa maadamu kampuni iitakuwa imepata TIN ina maana uko kwenye mfumo wa EFILLING.

Sasa mfumo huu unalazimisha ku FILE PROVISIONAL ASSESSMENT ya NIL kabla ya March 31 kila Mwaka. Halafu ufanye FINAL EFILLING ya hesabu za mwisho wa mwaka ka la ya JUNE 30 kila mwaka.

Hizi efilling zifanyike kwa wakati bila kukosa kwa sababu kuna FINE ya shs 225,000 kwa kila mwezi ambao utakuwa umechelewa kufanya Effiling. Kila mwezi unazaa fine kama hukufanya EFFILING.
 
Shukurani, unapojaza hizi efilling hamna malipo ya namna yeyote maana unakuwa hufanyi biashara bado?
 
kazi nzuri kiongozi, kwa kuwa TRA na BRELA ni mapacha nigependa kusaidia wenye kuhitaji HUDUMA ZIFUATAZO.
1. Audit of annual financial statements
2. Monthly VAT Return
3. Registration of employees for taxes SDL AND PAYE
4. Monthly payroll (TRA taxes SDL/PAYE, Social security (NSSF), Workers contribution to WCF
5. Tax Planning, provisional assessment tax for quarterly corporate taxes, charges etc
6. Cash budgeting and monitoring of complicated credit/loan facility transaction(monthly)
7. Trade stock-taking and assets auditing and accounts reconciliation(monthly)
8. Monthly management, bookkeeping, accounts and reconciliation
9. Compilation of financial statements

20230206_054638_0000.png
20230206_060115_0001.png
 
Ahsante kwa thread yako, nina maswali machache yanayonitatiza. Kwa mfano nimefungua Kampuni tayari na nikafeli kuanza kwa shughuli za kibiashara kwa miaka miwili toka ni sajili.
Utaratibu wa kikodi ukoje?.
Nipigie nikupe maelekezo vizuri 0655895751
 
✍️NINGEPENDA PIA MFANYABIASHARA USAJILI HUDUMA HIZI KWA GHARAMA NAFUU
1.kusajili kampuni au jina la biashara (business name)

2.Updating company / Updating Business name(jina la Biashara)

3.Kufile annual returns kwa kampuni online

4.kufuatilia kibali cha benki kuu tanzania (bot) kwa kampuni za kukopesha (micro finance )

5.Leseni ya biashara za daraja la kwanza Kwa njia ya online (viwanda na biashara) ambazo hazitolewi manispaa

6.Tunasajili trade mark ya biashara

7.Tunasajili NGOS na tunatengeneza company profile

8.Tunaandaa vitabu vya Tenda

9.Tunatoa huduma online passport application

10.Tunatoa ushauri wa kodi kwa wafanyabiashara

LOCATION:
✍️Ofisi yetu ipo Dar es Salaam maeneo ya M/Mmoja

MAWASILIANO
📞 Piga 0768417896 au 0655895751

Karibuni sana 🙏🙏
 
Mahitaji kwa ajili ya kampuni

1. Namba za Nida (kila mtu yake)
2. TIN numbers (Kila mtu yake,TIN yoyote aliyonayo kwa jina lake)
3. Phone, email, (kila mtu yake)
4. P. O. Box zenu.
5. Mahali mnapokaa kila mtu
6. Memorandum & Articles of Associtaion iliyopigwa mhuri wa mwanasheria
7. Pesa ya usajili ( gharama za usajili check brela.go.tz )

Utajaza form online na nyingine mbili. na kusubmit hiyo memart
__
NB: kazi ya tin ni kama kazi ya Namba ya nida. kwa ajili ya usajili sio biashara. ya biashara utatumia tin ya kampuni baada ya kusajili kampuni.

so kama huna tin APPLY NON-BUSINESS TIN Via ots.tra.go.tz
__
NB: Idadi minimum ni wawili (wewe na mwenzako. NDIVYO SHERIA INATAKA).

So kama wewe ndiye mmiliki mkuu basi Tafuta mtu mpatie chini ya 1%ili wewe umiliki zaidi ya 99% (mke/mume/ndugu/rafiki/mtoto wako/ etc).

JE UNAHITA MSAADA KUANDAA DOCS NA KUFANYA APPLICATION? , au huna muda ? TUNASAIDIA(Consulting) KWA HARAKA NA UFANISI👇🏾👇🏾 KAZI(SCOPE) YA UPANDE WETU NI;

1. Kuandaa Memorandum and articles of association
2. mwanasheria
3. kujaza forms zote zinazotakiwa
4. na kufanya application online
-----------
Call 0754210627
info@nzundatech.co.tz
Je ukiwa unataka umiliki wewe na mtoto wako ambaye yuko under 18years(let's say 2years)
Inakubarika?
 
Habari Boss,
Naomba kusaidia kujibu swali lako hapo juu.
Asiye na NIDA hawezi kuwa mkurugenzi, kwa mantiki hiyo mtu yeyote mwenyewe NIDA tu,anasifa ya kuwa mkurugenzi.

Kwa ufupi mtoto wa miaka 2 hawawezi kuwa mkurugenzi
 
Natamani kufungua Kampuni hata ya kidwanzi tu. Ila kila ninapofikiria huo mchanganuo wa mahitaji/matakwa ya kisheria; aisee nguvu zinaniisha kabisa.

Atleast nitaanza kwanza na business name.
 
Natamani kufungua Kampuni hata ya kidwanzi tu. Ila kila ninapofikiria huo mchanganuo wa mahitaji/matakwa ya kisheria; aisee nguvu zinaniisha kabisa.

Atleast nitaanza kwanza na business name.
Mkuu ni zipi faida za kusajili business name kama mbadala wa kusajili kampuni, Tiririka tafadhali
 
Mkuu ni zipi faida za kusajili business name kama mbadala wa kusajili kampuni, Tiririka tafadhali
Businesses Name,
1. Garama nafuu sana
2. Ni ya mtu mmoja tu, Haina mambo mengi
3. Haina ulazima wa kuandaa Hesabu za Kodi zilizo kaguliwa
4. Umiliki wa mtu mmoja, kwahiyo anaye milikia na jina la kampuni hazitenganishwi na hivyo ana maamuzi ya haraka
 
Back
Top Bottom