Ndio mkae kwa kutulia hivyo mnunuliwe umeme, Bwawa lina wenyewe lile haliwahusuKusema ataleta umeme maalumu kwa watu wa kaskazini ni hadaa tupu.
Bwawa sio lenu kashapewa mwekezaji, muwe mnamuelewa anapoongeaUmeme hauji na label.., watawapa wa Rufiji halafu watasema umetoka Ethiopia wapige pesa
😆😆😆Ndio mkae kwa kutulia hivyo mnunuliwe umeme, Bwawa lina wenyewe lile haliwahusu
Mkopo Trillion 7 anaulipa nani?Bwawa sio lenu kashapewa mwekezaji, muwe mnamuelewa anapoongea
Alimuuzia mwekezaji kwani za Gesi analipa nani?Mkopo Trillion 7 anaulipa nani?
Pesa za mauzo ziko wapi?Alimuuzia mwekezaji kwani za Gesi analipa nani?
Siri ya kambi umeambiwa wanafanya biashara ya kanisa kila baada ya misa wanatangaza wamekusanya sadaka kiasi gani, hizo Siri ndio maana wanaapa mbele alichokiita kijitabu kwamba watatunza Siri ila ni ngumu sana kwa mwmke kutunza Siri lazima zivujePesa za mauzo ziko wapi?
Duuh…, hata sina la kusema aisee.., mbona nchi itakuja kupinduliwa hii, kwamba Kauza bwawa?! Nakataa hili..Siri ya kambi umeambiwa wanafanya biashara ya kanisa kila baada ya misa wanatangaza wamekusanya sadaka kiasi gani, hizo Siri ndio maana wanaapa mbele alichokiita kijitabu kwamba watatunza Siri ila ni ngumu sana kwa mwmke kutunza Siri lazima zivuje
Defence mechanism unaelewa maana yake? Rejea kauli za Mawaziri akiwemo PM kuhusu umeme wa lile Bwawa kisha fanya calculationDuuh…, hata sina la kusema aisee.., mbona nchi itakuja kupinduliwa hii, kwamba Kauza bwawa?! Nakataa hili..
Kwani lami hazipo?Mikoa ya kaskazini imekuwa na umeme tangu zamani. Kwa mfano Kilimanjaro kila kijiji kimeunganishwa na gridi ya Taifa.
Kama rais Samia anatafuta kitu cha kuwafanyia watu wa mikoa ya kaskazini basi afanye haya:
1. Barabara za lami
2. Reli ya mpya (SGR)
3. Mipango miji
4. Viwanda
Kusema ataleta umeme maalumu kwa watu wa kaskazini ni hadaa tupu.
Umeme upo na sio huo umeme maalumu wa Ethiopia.Kwani lami hazipo?
Viwanda havipo?
Utampangaje Masai na mang'ati?
Reli Iko mbioni
Mwongo huyoSi nasikia hata lami bora kitambo sana huko.huko labda mupewe viwanda ili wadudu wapate cha kufanya