Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu umetishaMwamba ni Doctor (PhD) wa Civil Engineer (wa kusoma kabisa) ila huoni akiitwa Dr. Ahmadnejad kipindi chote cha uRais wake
Kumbe wewe ni nyapu. Tatizo limeanzia hapo.Huna akili wewe.
Naona umekuja kumtetea mumeo,Kumbe wewe ni nyapu. Tatizo limeanzia hapo.
Hivyo vikwazo unavyoviongelea hapa ni vikwazo vilivyowekwa unilaterally na US and its allies.Ahmadinejad aliisababishia Iran vikwazo vingi. Ni ultra nationalist ila mbishi na haangalii risks za ubishi na msimamo wake, ndio maana wanasiasa, bunge, supreme leadership na jeshi hawampendelei. Anapendwa na masheikh na wananchi wengi wenye msimamo mkali ambao hawajui dunia inaendaje uko nje. Ila kwenye masuala ya kijamii yuko vizuri hivyo akigombea kura anapata, mambo ya kiuchumi sio mzuri sana na mahusiano ya kimataifa ni muaribifu kabisa.
Mtu kama Raisi, Rais wao wa sasa ni mtulivu, haongei kwa jazba na hafanyi maamuzi kwa kukurupuka. Anauma na kupuliza, anakuja mikutano ya kimataifa anawahadaa kisha nyuma uko anafanya kile nchi yake inataka, he is buying time. Ahmadinejad ni mtata sana na controversial, kuwa na mkuu wa nchi mwenye mihemko ni risk. Yeye kuanzisha vita kwake ni kitu chepesi, wakati jeshi linajijua uwezo wake halisi ukiachana na mazungumzo ya public.
Mkuu ww unaonekana sio mfuatiriaji.Rohan aliendeleza sana mradi wa nyuklia, angekuwepo Ahmadinejad na akafanya development vile angepewa vikwazo vingi zaidi. Rohan mnaenda kwenye vikao anawachekea anawadanganya atakubali kisha akirudi kwake anafanya kwa siri, Ahmadinejad mkienda kwenye kikao anawachana atafanya na anawafokea.
Nimekuja kwa Id nyingine ili niendelee kukufilimba.Naona umekuja kumtetea mumeo,
Au ndio umekuja na ID nyingine?
Binti tulia acha kujishaua hovyo na kujipendekeza mpaka unatia aibu.Nimekuja kwa Id nyingine ili niendelee kukufilimba.
Nisamehe sana kwa kuhatarisha usalama wa kinyeo chako, mwarabu mweusi.Binti tulia acha kujishaua hovyo na kujipendekeza mpaka unatia aibu.
Hilo neno hapo kwenye red linathibitisha kua wewe sio riziki na ndio maana una confidence ya kulitaja bila wasiwasi,mtu huwaza afanyalo yeye basi na wengine hulifanya pia,Nisamehe sana kwa kuhatarisha usalama wa kinyeo chako, mwarabu mweusi.
Angalau wenge limekutoka.Hilo neno hapo kwenye red linathibitisha kua wewe sio riziki na ndio maana una confidence ya kulitaja bila wasiwasi,mtu huwaza afanyalo yeye basi na wengine hulifanya pia,
wazazi wako wana hasara kubwa sana.
Kaa pembeni huna hoja panzi wewe.Angalau wenge limekutoka.
Wewe mtu gani , muda wote unatafuta angle ya kuwalaumu wazungu.
Kenge mweusi, muda wote unawaza wazungu wazungu , utafikiri kuna mzungu alikubikiri kwa lazima.Kaa pembeni huna hoja panzi wewe.
Binti kampikie mumeo chai kwanza usije ukaachika halafu ukaja kufungua thd ya kutulilia hovyo hapa.Kenge mweusi, muda wote unawaza wazungu wazungu , utafikiri kuna mzungu alikubikiri kwa lazima.
Sijawahi sikia popote Iran imefika enrichment ya 90% ya Uranium. Ukifika enrichment hiyo unatengeneza nuclear warhead, sasa Iran ina nukes?Mkuu ww unaonekana sio mfuatiriaji.
Kipindi cha Rohan ndo Iran ilipunguza kabisa uzalishaji wa uran kutoka asilimia 90 mpaka kufikia asilimia 10 tu baada ya kusaini mkataba wa nyukilia na Mataifa yenye nguvu , lakini pamoja na hayo Trump alijitoa kwenye mkataba huo na kuiwekea vikwazo vikali ambavyo havikuwahi kushuhudiwa.
Mkuu una ubishi usio kuwa na msingi wowote.Sijawahi sikia popote Iran imefika enrichment ya 90% ya Uranium. Ukifika enrichment hiyo unatengeneza nuclear warhead, sasa Iran ina nukes?
Vikwazo viliizidia nguvu kiuchumi ikapunguza enrichment ikafanya mazungumzo baadae taratibu ikaanza kuongeza na haijulikani imefikia hatua gani maana imefukuza wataalamu wa shirika la atomiki duniani, sijajua kama wamekwisharudi. Kwa sasa taarifa za nyuklia za Iran ni zile zinatolewa na serikali, au zile za kijasusi kutoka Israel ila sio shirika la atomiki.
Na inasemekana enrichment iliwahi fika about 80%.
Hakuna sababu ya kusema Ahmadinejad alifika 90% alafu hadi leo Iran haina nukes. Siku Iran ikifika hizo percentage inaunganisha moja kwa moja na kutengeneza warhead sio kusubiri kinu kishambuliwe au vikwazo maradufu viongezwe. Hiyo ni point of no return
HahahahAngekuja agombee na huku kwetu...[emoji2955]