Mahmoud Ahmadnejad: Rais aliyekataa mshahara mkubwa na kuendelea kupokea mshahara wa mwalimu na kurudi na kufundisha baada ya miaka 8 ya urais

Mahmoud Ahmadnejad: Rais aliyekataa mshahara mkubwa na kuendelea kupokea mshahara wa mwalimu na kurudi na kufundisha baada ya miaka 8 ya urais

Ahmadinejad aliisababishia Iran vikwazo vingi. Ni ultra nationalist ila mbishi na haangalii risks za ubishi na msimamo wake, ndio maana wanasiasa, bunge, supreme leadership na jeshi hawampendelei. Anapendwa na masheikh na wananchi wengi wenye msimamo mkali ambao hawajui dunia inaendaje uko nje. Ila kwenye masuala ya kijamii yuko vizuri hivyo akigombea kura anapata, mambo ya kiuchumi sio mzuri sana na mahusiano ya kimataifa ni muaribifu kabisa.

Mtu kama Raisi, Rais wao wa sasa ni mtulivu, haongei kwa jazba na hafanyi maamuzi kwa kukurupuka. Anauma na kupuliza, anakuja mikutano ya kimataifa anawahadaa kisha nyuma uko anafanya kile nchi yake inataka, he is buying time. Ahmadinejad ni mtata sana na controversial, kuwa na mkuu wa nchi mwenye mihemko ni risk. Yeye kuanzisha vita kwake ni kitu chepesi, wakati jeshi linajijua uwezo wake halisi ukiachana na mazungumzo ya public.
Hivyo vikwazo unavyoviongelea hapa ni vikwazo vilivyowekwa unilaterally na US and its allies.

Wala sio vikwazo vilivyowekwa kupitia UNSC Resolutions.

Ni unfair games ambazo USA amekuwa anafanya dhidi ya nchi zingine.
 
Rohan aliendeleza sana mradi wa nyuklia, angekuwepo Ahmadinejad na akafanya development vile angepewa vikwazo vingi zaidi. Rohan mnaenda kwenye vikao anawachekea anawadanganya atakubali kisha akirudi kwake anafanya kwa siri, Ahmadinejad mkienda kwenye kikao anawachana atafanya na anawafokea.
Mkuu ww unaonekana sio mfuatiriaji.

Kipindi cha Rohan ndo Iran ilipunguza kabisa uzalishaji wa uran kutoka asilimia 90 mpaka kufikia asilimia 10 tu baada ya kusaini mkataba wa nyukilia na Mataifa yenye nguvu , lakini pamoja na hayo Trump alijitoa kwenye mkataba huo na kuiwekea vikwazo vikali ambavyo havikuwahi kushuhudiwa.
 
Nisamehe sana kwa kuhatarisha usalama wa kinyeo chako, mwarabu mweusi.
Hilo neno hapo kwenye red linathibitisha kua wewe sio riziki na ndio maana una confidence ya kulitaja bila wasiwasi,mtu huwaza afanyalo yeye basi na wengine hulifanya pia,
wazazi wako wana hasara kubwa sana.
 
Pole pole wakuu siku mtasikia jamaa huyo ni agent wa MOSSAD tena hizo allegations tusishangae zikitolewa na wa IRAN wenyewe. Sura na muonekana wa hawa wa IRAN ni copyright na wazayuni wa Islaer achilia mbali tamaduni nyingine nying wanafanana. Iran na wahayudi wengi sana
 
Hilo neno hapo kwenye red linathibitisha kua wewe sio riziki na ndio maana una confidence ya kulitaja bila wasiwasi,mtu huwaza afanyalo yeye basi na wengine hulifanya pia,
wazazi wako wana hasara kubwa sana.
Angalau wenge limekutoka.
Wewe mtu gani , muda wote unatafuta angle ya kuwalaumu wazungu.
 
Ushasema Iran. Sisi watu weusi tulipigwa radi ndiyo maana tuko kivyetuvyetu hapa ulimwenguni tunakimbiza mwanga ambao tushaambiwa una kasi isiyomithilika. Tuendelee kunywa kahwa na kashata mradi tusife.
 
Mkuu ww unaonekana sio mfuatiriaji.

Kipindi cha Rohan ndo Iran ilipunguza kabisa uzalishaji wa uran kutoka asilimia 90 mpaka kufikia asilimia 10 tu baada ya kusaini mkataba wa nyukilia na Mataifa yenye nguvu , lakini pamoja na hayo Trump alijitoa kwenye mkataba huo na kuiwekea vikwazo vikali ambavyo havikuwahi kushuhudiwa.
Sijawahi sikia popote Iran imefika enrichment ya 90% ya Uranium. Ukifika enrichment hiyo unatengeneza nuclear warhead, sasa Iran ina nukes?
Vikwazo viliizidia nguvu kiuchumi ikapunguza enrichment ikafanya mazungumzo baadae taratibu ikaanza kuongeza na haijulikani imefikia hatua gani maana imefukuza wataalamu wa shirika la atomiki duniani, sijajua kama wamekwisharudi. Kwa sasa taarifa za nyuklia za Iran ni zile zinatolewa na serikali, au zile za kijasusi kutoka Israel ila sio shirika la atomiki.
Na inasemekana enrichment iliwahi fika about 80%.

Hakuna sababu ya kusema Ahmadinejad alifika 90% alafu hadi leo Iran haina nukes. Siku Iran ikifika hizo percentage inaunganisha moja kwa moja na kutengeneza warhead sio kusubiri kinu kishambuliwe au vikwazo maradufu viongezwe. Hiyo ni point of no return
 
Mkuu una ubishi usio kuwa na msingi wowote.
 
Bongo huku wanakwambia mstaafu lazima alindwe maana anajua siri za nyingi za nchi🤣🤣
Tuna Siri gani sisi kuizidi Iran inayofuatiliwa kilasiku na westerners na Israel juu ya urutubishaji wa nishati za nuclear na rais wao mstaafu anajumuika na raia wa kawaida.🙌
 
Back
Top Bottom