mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Kuna mtu alikabidhiwa kwa askari wa kinegeria wakati akiwa nchini humo on transit ili asitapeliwe cha ajabu dakika za mwisho kabla hajaingia kwenye ndege askari akamtapeli akasepa. Utapeli uko kwenye damu.Ahaaaa umenichekesha, wanaigeria no mabi gwa Wa kudanganya wanawake na wakijua uko umeshaumizwa mahaba atakayokupa bab kubwa , lakini mwisho lazima atakutapeli. Hawana mapenzi ya burebure.
Hizi figisufigisu za huyu dada mi nishazichoka. akipata bwana akae kimya, maana naona kama wanaonyesheana kwamba ukiniacha basi napata mwingine next level
Awe makini sana nahisi ameingia kwenye mahusiano kwa pupa na mapema mno.Kuna mtu alikabidhiwa kwa askari wa kinegeria wakati akiwa nchini humo on transit ili asitapeliwe cha ajabu dakika za mwisho kabla hajaingia kwenye ndege askari akamtapeli akasepa. Utapeli uko kwenye damu.
Jamaa anaitwa "Spice"????
Haya sawa
haijapita 20 tangia, miaka 20 unamaanisha 1996 ndio ilianzaHeh jeede ana umri gani mpaka sasa? Tangu nimeanza kumsikia hajaolewa tu. Kama bado basi jamaa kaingia cha kike. Tangu enzi za machozi mpaka leo miaka 20 haijaisha?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]diklopa
Anampenda Jay Dee !!!?????? Aaache utapeli huyuu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jf raha sanaKupendwa raha, acha amtafutie dawa baby maana yule mwingine alikuwa anamkojoza hata kama kanuna, huyu anataka aondoe mnuno.