Mahojiano na mchumba wa Lady Jaydee, asema wana mipango mizito

Mahojiano na mchumba wa Lady Jaydee, asema wana mipango mizito

Ahaaaa umenichekesha, wanaigeria no mabi gwa Wa kudanganya wanawake na wakijua uko umeshaumizwa mahaba atakayokupa bab kubwa , lakini mwisho lazima atakutapeli. Hawana mapenzi ya burebure.
Kuna mtu alikabidhiwa kwa askari wa kinegeria wakati akiwa nchini humo on transit ili asitapeliwe cha ajabu dakika za mwisho kabla hajaingia kwenye ndege askari akamtapeli akasepa. Utapeli uko kwenye damu.
 
Sina imani na wa Nigeria ni wezi na matapeli bora awe makini asijekuwa ametumwa mapene tu hapo kwa dada. Hta hivyo hajulikani kivile labda hizo nywere zake tu. Kama wanaume kila mtu ana wake aangalie asijekulizwa bure bora na kaka G alijiondokeaga tu ila mnaigeria hakuachi hivi hivi.
 
'Ugonjwa' mmoja, 'dawa' nyingi? Yule mwengine dawa ilikuwa ni kumkojoza, huyu atampa dawa gani?😀😀😀
 
Mi sijaona kama kuna shida yoyote,atamficha mpaka lini??mwache afurahie bhana..ni ngumu kwa celebrity kumficha a man anaedate nae,ni ngumu kupita, ,,
Hizi figisufigisu za huyu dada mi nishazichoka. akipata bwana akae kimya, maana naona kama wanaonyesheana kwamba ukiniacha basi napata mwingine next level
 
Muda utaongea, kama wanapendana kweli au jamaa yupo kimaslai,na jamaa mwenyewe namuona yupo karibu sana na Mr flavour.
 
Wasanii wetu banah huwa wanatupaga maneno yakuongea hivi kwanini hawanaga privacy zao, ni lazima watuambie wana nini wanakifanya huyu nae ni nigerian gani kaanza na kick yani amesha copy swaga za bongo
 
Kuna mtu alikabidhiwa kwa askari wa kinegeria wakati akiwa nchini humo on transit ili asitapeliwe cha ajabu dakika za mwisho kabla hajaingia kwenye ndege askari akamtapeli akasepa. Utapeli uko kwenye damu.
Awe makini sana nahisi ameingia kwenye mahusiano kwa pupa na mapema mno.
 
Hayo mambo ni ya binafsi sana hatuna haja au ulazima wa kuyajua. Yanatusaidia nini wakati huu wa hali ngumu ya maisha? Wao waendelee tu kama wanaowana au wanaachana hiyo ni shauri yao!
 
Huyo jamaa kuna kitu anakitafuta bongo hivyo ameona ajiweke kwa jdee ili afanikishe mambo yake.
 
Kupendwa raha, acha amtafutie dawa baby maana yule mwingine alikuwa anamkojoza hata kama kanuna, huyu anataka aondoe mnuno.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jf raha sana
 
SimbA mzee huwa awezi sahau Kuwinda, Chezea Nigerian, TUTASIKIA MENGI,
 
Back
Top Bottom