mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Kuna mtu alikabidhiwa kwa askari wa kinegeria wakati akiwa nchini humo on transit ili asitapeliwe cha ajabu dakika za mwisho kabla hajaingia kwenye ndege askari akamtapeli akasepa. Utapeli uko kwenye damu.Ahaaaa umenichekesha, wanaigeria no mabi gwa Wa kudanganya wanawake na wakijua uko umeshaumizwa mahaba atakayokupa bab kubwa , lakini mwisho lazima atakutapeli. Hawana mapenzi ya burebure.