chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Kuna siku alisema ashapata mwl wa kumfundisha hvyo kwa sasa Hv anajua kiingerezaHuyu dada anachonifurahisha alishadeclare kuwa hajui kiingereza ila haogopi kujaribu kuongea kisa watu watamcheka.
That is what we call CONFIDENCE. Big up Shilole
Hiyo sikuipataga mkuuKuna siku alisema ashapata mwl wa kumfundisha hvyo kwa sasa Hv anajua kiingereza
Confidence ya namna hiyo inapatikana igunga tu!kwa mie wa dar naita UjingaHuyu dada anachonifurahisha alishadeclare kuwa hajui kiingereza ila haogopi kujaribu kuongea kisa watu watamcheka.
That is what we call CONFIDENCE. Big up Shilole
Kumbe wewe ni wale wa darConfidence ya namna hiyo inapatikana igunga tu!kwa mie wa dar naita Ujinga
Ndio wale wale tusiojua lakini tunaaishi bila matumaini ya kutokujua!Lakini sio kwa ujinga huoKumbe wewe ni wale wa dar
Maskini huu ni udhalilishaji wa wazi kabisa! Walimpa pombe kwanza ndio wakanfanyia mahojiano..it's not fairShilole alihojiwa kwa kiingreza na mtangazaji wa redio
hii mahojiano yanaonekana ya mda mrefuMaskini huu ni udhalilishaji wa wazi kabisa! Walimpa pombe kwanza ndio wakanfanyia mahojiano..it's not fair
Ok lakini hakuwa kwenye nerve zake...she was triggered with a certain speedhii mahojiano yanaonekana ya mda mrefu