Mahojiano na Shilole kwa kiingereza

Mahojiano na Shilole kwa kiingereza

Huyu dada anachonifurahisha alishadeclare kuwa hajui kiingereza ila haogopi kujaribu kuongea kisa watu watamcheka.
That is what we call CONFIDENCE. Big up Shilole
Kuna siku alisema ashapata mwl wa kumfundisha hvyo kwa sasa Hv anajua kiingereza
 
alihojiwa kama sikosei clouds akasema anajua kiingereza Ila juzi hapa kwenye shiwaladu loohh!!
majanga matupu

Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
 
Mbona hiyo ni kama utani...au ni masikio yangu tu?

Ingawa najua kinampiga chenga lakini hapo nadhani walikuwa wanafanya mzaha na utani kwa makusudi.

But what do I know...
 
Huyu dada anachonifurahisha alishadeclare kuwa hajui kiingereza ila haogopi kujaribu kuongea kisa watu watamcheka.
That is what we call CONFIDENCE. Big up Shilole
Confidence ya namna hiyo inapatikana igunga tu!kwa mie wa dar naita Ujinga
 
Back
Top Bottom