Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Anakuambia "shishi baby himself"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini yeye alikuwa seriousMbona hiyo ni kama utani...au ni masikio yangu tu?
Ingawa najua kinampiga chenga lakini hapo nadhani walikuwa wanafanya mzaha na utani kwa makusudi.
But what do I know...
Mimi Mtanzania ambaye hajajinadi usomi wala kusema yeye mtaalamu wa lugha kukosea Kiingereza sishangai.Huyu dada anachonifurahisha alishadeclare kuwa hajui kiingereza ila haogopi kujaribu kuongea kisa watu watamcheka.
That is what we call CONFIDENCE. Big up Shilole
Always the debonair chivalrous gentleman.Niachien Shishi baby wangu..[emoji3]
Kiranga shkaamooo
Sidhan kama ni serious. Naona kama maigizo vile yan nimecheka
Adam mchomvu mara nyingi hayuko serious ila hapo alikuwa anahojiwa seriosKwangu naona kama walikuwa wanafanya utani tu.
Sikiliza tu hata tone ya anayeuliza maswali.....it's jokey joke!
Adam mchomvu mara nyingi hayuko serious ila hapo alikuwa anahojiwa serios
Kwani hizo sauti zinazosikika ni za kipindi gani nyani ngabu anyway kipindi chaitwa double xl wana utani na huenda waliamua kufanya hivyo makusudi coz wanamjua shilole sio mzuri kwenye hy lughaAlikuwa anahojiwa 'serious' kwenye kipindi gani? Hicho kipindi huwa wanafanya mahojiano kwa lugha ya Kiingereza hata kwa wasanii wa Kitanzania?
Alikuwa anahojiwa 'serious' kwenye kipindi gani? Hicho kipindi huwa wanafanya mahojiano kwa lugha ya Kiingereza hata kwa wasanii wa Kitanzania?
Kumbe uko kama mimi mkuu shilole nampenda sana kwa sababu yuko real ni vomedian asiyejijua tu basi hahaNiachien Shishi baby wangu..[emoji3]
Kiranga shkaamooo
Haya bwana!!!!Always the debonair chivalrous gentleman.
Serikali ilivyomfungia nilitaka kuanzisha safari nije kumuwekea mwanasheria huko.Kumbe uko kama mimi mkuu shilole nampenda sana kwa sababu yuko real ni vomedian asiyejijua tu basi haha
Hii lugha tunaipenda tu ila kwa wengi sio rafiki ila tutafanyaje ili uonekane umestaarabika na kuelimika lazima uiongee basi ndo hivyo tunajikongoja sentensi moja the kama kumi hivi hizo ni za kutafutia neno la mbele.alihojiwa kama sikosei clouds akasema anajua kiingereza Ila juzi hapa kwenye shiwaladu loohh!!
majanga matupu
Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
ila yeye anafanya makusudi tu,mana anajijua hajui so anaongea kufurahisha watu!Hii lugha tunaipenda tu ila kwa wengi sio rafiki ila tutafanyaje ili uonekane umestaarabika na kuelimika lazima uiongee basi ndo hivyo tunajikongoja sentensi moja the kama kumi hivi hizo ni za kutafutia neno la mbele.