Uchaguzi 2020 MAHOJIANO: Tundu Lissu na VOA ya kusimamishwa kampeni na NEC, anakubaliana na Magufuli kuhusu COVID19

Nimemsikia sauti yake. Imekuwa na mkwaruzo fulani na ingeweza kukauka angeendelea na kampeni kwa wiki hivi. Apumxzike kidogo. Chadema wabuni njia mpya ya kuwafikia wa-Tz wote. Kufungiwa kampeni kwa siku 7 ni kufanyiwa 'promo' ya bure. Wasipoteze muelekeo waanze kupambana na vyombo vya dola huku Magu akiendelea na kampeni.
 
Kweli aisee. You are right
 
Uswis hata hawaongei kingereza, acha kuwa zuzu
Zuzu ni wewe kwani hata Uswiss wangekuwa wanaongea Kingereza mpendwa wenu hajui lugha hiyo anajua Kisukuma na Kitutsi tu kama wewe. Kwa taarifa yako na wengine kama wewe, Uswiss asilimia wanaozungumza Kingereza ni kubwa mara tatu kuliko Bongoland na wanazungumza pia Kifaransa, Kijerumani na Italiano. Hakuna nchi duniani ambako Rais wake hajui lugha nyingine ya Kigeni ni Tanzania pekee ambako hata lugha ya Taifa inampiga chenga. Hata Kim Jong Un wa Korea ya Kaskazini, nchi iliyojitenga na dunia, amesoma Chuo Kikuu Uswiss kwa hiyo anajua lugha za huko ingawa haikuwezekana kuzungumza Kijerumani na Trump kwa sababu Trump ni Mjerumani mzaliwa wa USA. Tanzania nchi ya mazuzu yananunua mbuzi kwenye kiroba!
 
Mshaurini ndugu yenu kuna maisha baada ya uchaguzi,asisahau hilo.

Akumbuke kuanzia tar 29 oct hatotakiwa kusikika mtu akisema fye fye fye

na asisahau alipotoka na muhimu akumbuke ana familia na tayari kashaingia Nchini.
Kwani sheria ipi inakataza mtu kusema fye fye fye baada ya trh 29 october ?

Nyie mijitu mioga ndio mnasababisha tuendelee kutawaliwa na raia wa nchi jirani
 
Hata jambazi hunusurika kufa,
Huyu jamaa kajaa roho ya uasi ni wakumuepuka kama ukoma katika nchi.
 
Lumumba buku7 naona jinsi unavyojichosha na UJINGA wako huu
 
Watanzania tuwe makini tuache kusikiliza wagombea wenye uraia wa Nchi mbili
Nilikuwa nadhani umejitoa akili kumbe una akili na unajitahidi kuitumia "at maximum". Ni vile tu uko kwenye kundi fulani la wale waliotajwa kwenye ripoti fulani ya twaweza
 
Lumumba buku7 naona jinsi unavyojichosha na UJINGA wako huu
Si kila anayempinga huyu bwana wenu aliyenenepeana mashavu ni analipwa buku saba,hapana wengine kama sisi ni wazalendo tunapigania nchi, na hatuko tayari kuona nchi yetu inakuwa koloni jipya la wabeligiji kwa kumkabidhi mbeligiji lissu
 
Hivi kuna Nyomi wapinzani wanapata Kama ambayo waliwahi kupata 2015 na hawakushinda mseme leo mbele ya Rais Magufuli ambae ametetea wanyonge wengi Tanzania
 
Si kila anayempinga huyu bwana wenu aliyenenepeana mashavu ni analipwa buku saba,hapana wengine kama sisi ni wazalendo tunapigania nchi, na hatuko tayari kuona nchi yetu inakuwa koloni jipya la wabeligiji kwa kumkabidhi mbeligiji lissu
Tujulishe Aina ya uzalendo unaozungumzia ,ule maslahi au uzalendo halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…