Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Burundi ni mkoa wa TanzaniaAhaa mbona tayari wanatutawala kutoka Burundi..People used to die in ze lakes
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Burundi ni mkoa wa TanzaniaAhaa mbona tayari wanatutawala kutoka Burundi..People used to die in ze lakes
Kweli aisee. You are rightSiyo kweli, kama unaongelea nchi ya Uswisi ina lugha Kuu 3/4, ya kwanza Kijerumani ambapo ni zaidi 68% ya Waswisi Kijerumani ni lugha mama yao, halafu ikifuatiwa na Kifaransa na lugha ya tatu ni Kiitaliano kwa maana Uswisi imepaka na Italia pia, lkn Kiingereza siyo lugha rasmi Uswisi , ...
Wivu mbaya sana.....Huyo si attention seeker, werevu tunachukulia alitaka "kuuzia" sura tuu.
October 28 kura zote kwa JPM.
JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Unaelewa maana ya lugha gongana?Uswis hata hawaongei kingereza, acha kuwa zuzu
Watanzania wapi unawambia hayo?hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atakusikiliza weweWatanzania tuwe makini tuache kusikiliza wagombea wenye uraia wa Nchi mbili
Korosho tuu,watu wameporwa mpaka wake.Sema
Wewe utamchagua. Mtu aliyepora KOROSHO zetu kifashist tutamchaguaje? Ili atupore tena?
Zuzu ni wewe kwani hata Uswiss wangekuwa wanaongea Kingereza mpendwa wenu hajui lugha hiyo anajua Kisukuma na Kitutsi tu kama wewe. Kwa taarifa yako na wengine kama wewe, Uswiss asilimia wanaozungumza Kingereza ni kubwa mara tatu kuliko Bongoland na wanazungumza pia Kifaransa, Kijerumani na Italiano. Hakuna nchi duniani ambako Rais wake hajui lugha nyingine ya Kigeni ni Tanzania pekee ambako hata lugha ya Taifa inampiga chenga. Hata Kim Jong Un wa Korea ya Kaskazini, nchi iliyojitenga na dunia, amesoma Chuo Kikuu Uswiss kwa hiyo anajua lugha za huko ingawa haikuwezekana kuzungumza Kijerumani na Trump kwa sababu Trump ni Mjerumani mzaliwa wa USA. Tanzania nchi ya mazuzu yananunua mbuzi kwenye kiroba!Uswis hata hawaongei kingereza, acha kuwa zuzu
Waga tunafikiri so kama nyie mnatoa adhabu kumbe mmevunja sheriaHuyo Lissu kama kweli ana wafuasi waaminifu, Leo tungewaona barabarani wakiandamana kupinga kupewa adhabu na NEC. Lakini wapi?
Kwani sheria ipi inakataza mtu kusema fye fye fye baada ya trh 29 october ?Mshaurini ndugu yenu kuna maisha baada ya uchaguzi,asisahau hilo.
Akumbuke kuanzia tar 29 oct hatotakiwa kusikika mtu akisema fye fye fye
na asisahau alipotoka na muhimu akumbuke ana familia na tayari kashaingia Nchini.
Lumumba buku7 naona jinsi unavyojichosha na UJINGA wako huuHuyu milembe walikosea sana kumruhusu aondoke maana nikiangalia kwa mbali bado naona kuna shida kwenye akili yake.
Eti anasema watanzania maelfu kwa maelfu wanahudhuria mikutano yake hivyo anaamini kuwa wote wanao kuja kwenye mikutano yake lazima wampigie kura,huyu mtu ni wa kupimwa akili,maelfu kwa maelfu wakati wapiga kura wako mamilioni kwa mamilioni,sasa hao maelfu wanatosha kumpa ushindi dhidi ya mamilioni wa CCM? Jibu ni hapana
Huyu mtu kwa waliokaribu yake wanapaswa wamuambie kuwa si kila anayeenda kwenye mikutano yake ni mfuasi wake wengine wanakuja kuangalia mashavu yake yalivyonenepeana,mimi binafsi nimehudhuria mikutano ya Lissu zaidi ya Mara nne lakini mimi si mfuasi wake na nilitumia nauli kubwa kuhufutilia mikutano yake katika mikoa mitatu lakini hata kama jua litabadili uelekeo Leo siwezi mpa kura yangu lissu
Aache kupotosha huyu bwana,waliomtuma awaambie watanzania wamemshitukia.
Nilikuwa nadhani umejitoa akili kumbe una akili na unajitahidi kuitumia "at maximum". Ni vile tu uko kwenye kundi fulani la wale waliotajwa kwenye ripoti fulani ya twawezaWatanzania tuwe makini tuache kusikiliza wagombea wenye uraia wa Nchi mbili
Ccm kweli kichwa maji yy kakwambia lugha hajakutajia lugha ganiUswis hata hawaongei kingereza, acha kuwa zuzu
Si kila anayempinga huyu bwana wenu aliyenenepeana mashavu ni analipwa buku saba,hapana wengine kama sisi ni wazalendo tunapigania nchi, na hatuko tayari kuona nchi yetu inakuwa koloni jipya la wabeligiji kwa kumkabidhi mbeligiji lissuLumumba buku7 naona jinsi unavyojichosha na UJINGA wako huu
Uswis hata hawaongei kingereza, acha kuwa zuzu
Nchi yetu iko huru,na haki za msingi zinafahamika,kwa kutumia mbeleko ccm,mnakuja na makatazo haramu kwenye haki za msingi.Haya ni maneno ya vitisho..kuna watu mnaona kama nchi hii ni yenu na wajomba zenu..!!
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Watanzania tuwe makini tuache kusikiliza wagombea wenye uraia wa Nchi mbili
Tujulishe Aina ya uzalendo unaozungumzia ,ule maslahi au uzalendo halisi.Si kila anayempinga huyu bwana wenu aliyenenepeana mashavu ni analipwa buku saba,hapana wengine kama sisi ni wazalendo tunapigania nchi, na hatuko tayari kuona nchi yetu inakuwa koloni jipya la wabeligiji kwa kumkabidhi mbeligiji lissu