Mahojiano ya Bishanga na The Secretary..

na ulivyokuwa unalilia talaka chezea mhaya na katerero yake mwenyewe umenywea

Ha ha ha nitonye.. Katerero bila hela ni sawa na nyumba yenye paa la makuti.. Mvua ikinyesha lazima ipenye japo kiduchu.. Kitafutwe hata kidumu cha kukinga..

cc: Paloma..
 
Last edited by a moderator:
Hivi hapa mnamzungumzia Bishanga huyuhuyu?
Ambae last week ameniletea maombi nimpe loan ya kununua baiskeli, nikamnyima ! Tangu hiyo siku kaninunia, hatuongei.
 
Last edited by a moderator:
Hongera Nicas Mtei kwa kupiga chabo.
Kopi: Zinduna, King'asti, gfsonwin na Kongosho.......mnaliona hili li nicas eti linaomba lisutwe......do ze nidful
Kopi: Mwali.....andaa madera,khanga ,vitengo na ngoma.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…